Re:wazee wa mjengo wa science& tech mnaonaje tukiomba page ndani ya jukwaa?

mkuu hapa unamaanisha zitengenezwe sub forums mbili za comp na mobile jumla subforums ziwe tatu na hiyo ya downloadz, kisha hili lililopo liwe changanyikeni yaani unapost chochote iwe gearbox, ndege inapaaje, vingamuzi nk. Naunga mkono hoja.Pia ikiwezekana mods watafute utaratibu humu kuna thread zipo very useful waziweke sticky.Na mwisho kuwepo na option ya kuongeza neno SOLVED katika heading ya thread kwa muuliza swali, mfano nimeuliza pc yangu inagoma hiki, nikipewa solution naikaondoa tatizo basi niwe na option ya kuongeza neno SOLVED katika heading ya thread yangu.Nimaoni tu
kaka kuhusu maoni yako nakuunga mkono 100 kwa 100.
 
No no no hiyo ita limit thinking,hakuna graduation ktk IT kama ilivyo kwenye Bible,so acheni hivi ilivyo ukikutana na mobile solve ukikutana na computer solve pia kama hauwezi potezea!
 
No no no hiyo ita limit thinking,hakuna graduation ktk IT kama ilivyo kwenye Bible,so acheni hivi ilivyo ukikutana na mobile solve ukikutana na computer solve pia kama hauwezi potezea!
umesomeka!!
 
Well said... lets wait and see vile vile what happend na THANKS button mbona hii kitu imefutwa chini chini hv anaejua kwanini hii kitu kimetolea coz forum bila thanks button duuuh ni geni kwangu au twataka kuwa unique?
 
Wazee naona mvutano ni mkali wengine wanakubari wengine wanakataa.ila yote sawa.hii inanifanya nikumbuke wimbo wa jaymoe (mvua na jua) ila mimi naamini hili ombi lingeleta ufanisi zaidi.angalieni jukwaa la sport and entertainment. Yaani lipo poa sana ukiingia ndani unakuta mambo ya mpira huku mambo ya muziki huko. Ningeweka link ila hapa natumia simu.yoyote anaetumia pc anaweza kutuwekea link tuone.
 
Back
Top Bottom