Re: wapi inapatikana new nokia e52 au e55?

sigachuma

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
233
Reaction score
29
Natafuta simu 1 Kati ya hizi either nokia e52 or e55 yenye kila kitu( earphone,charger,USB cable na if possible cd yake). Na kama ipo napata kwa sh. Ngapi?uki ni pm itakua jambo la kheri.
 
ipo e52 kwa bei poa used vp unahitaji ila battery sio original bei ni 130,000/=
 
je betri zake zinapatikana au ndio nianze kutembea na charger kokote niendako..ngoja nipitie posta nikipata duk linalouza genuine nitakuchek tufanye bizness
 
leta..150 nikupe e72 iliyotulia wewe..ufurahie maisha..usb,ipo,charge ipo..earphone hamna
 
mi nataka kati ya simu aina tajwa hapo juu, zenye button nying,slide, huwa sina interest nazo
 
Natafuta simu 1 Kati ya hizi either nokia e52 or e55 yenye kila kitu( earphone,charger,USB cable na if possible cd yake). Na kama ipo napata kwa sh. Ngapi?uki ni pm itakua jambo la kheri.

Me nina nokia e63 kwa laki moja na hamsini kama vipi nicall kwa 0712014405
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom