Hi everybody! Naitwa tinoh, nina degree ya computer engineering, i am much interested in networking system( networking simulation) , VSAT system(dishes), baada ya kutafuta kazi kwa mda mrefu bila mafanikio sasa ivi natafuta kampuni yoyote ndani ya tanzania hii kufanya kazi kama volunteer, naitaji msaada wenu wanachama wenzangu wa jf, unaweza nipata kwenye 0655601779 ukitaka kunisaidia juu ya ilo. Asanteni sana