Shilingi ya Kenya tu inatuumiza kichwa. Tunayo ardhi ya kutosha lakini serikali ndio bingwa wa kupora mazao ya wakulima kwa kisingizio cha njaa.
Kama imeshindikana akili ndogo tu ya kutumia manpower ya prisons kuzalisha chakula na kuwaacha wakulima wauze mazao yao nje tupate fedha za kigeni, akili ya kununua ndege itatoka wapi. Kagame alituchana live tukasema anatutukana.