Re: Nisaidieni kazi ya it au electronics

Re: Nisaidieni kazi ya it au electronics

ISAAC11

Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
94
Reaction score
12
Mie ni kijana wa kitanzania nina MSC ya IT pia Nimepiga BE in Electronics yoyote mwenye uwezo wa kunisaidia kazi au anayependa tufanye naye kazi nipo tayari hata kama ni kufundisha .Plzz naomba yoyote mwenye kuguswa ani PRIVATE MESSAGE (PM)
 
Una masters then huna kazi,mbona mnatuogopesha sana sis wadogo zenu ambao bado tuko vyuon?
 
duh,haka kadiploma kangu ka education kumbe kananitosha kabisa kama mtu ana masters ya IT na hapati kazi.
 
Mkuu MSC in IT then unatafuta kazi, sijui ulibase wapi but I guess ungekuwa na projects kibao unatafuta watu wa kufund sio unatafuta job, MSC in IT then electronics yani wewe ungekuwa full, electronics kwenye hardware na hiyo IT kwenye software umemaliza. Ushauri wangu, tengeneza projects then tafuta watu wa kukufund utatoka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom