RE: Natafuta SIMU ya lDlOUS.

RE: Natafuta SIMU ya lDlOUS.

Kisiya Jr.

Senior Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
102
Reaction score
30
Kwa yeyote mwenye simu hiyo na anaiuza ani-PM na aniambie anaiuzaje. Iwe mpya au used ilimradi haina tatito tu!
 
uko wapi?? mwanza zipo kwa 140000, vipi nikupe contact?
 
Kaka email me,cionzee@gmail.com,ipo inauzwa tsh 130,000!Hapa hapa Dar es Salaam tafadhali
 
29d9cb61-bd18-a3f1.jpg
tafuta tuwe wengi,ila betri kaka maumivu.
 
yangu mpyaa..ina miez miwil...nipe 1.5...
no longolongo...
0712507060
naibana koz inantesa kuchati...cnto zoea ase
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom