Re: Nafasi ya kazi ya kujiajiri

Re: Nafasi ya kazi ya kujiajiri

shilanona

Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
55
Reaction score
22
Natafuta kijana , hasa mwanamme, awe na umri wa kati ya miaka 20-30 hivi, Form Six au aliye na Diploma ya profession yoyote ili ni nimpe kazi ya umeneja. Kijana awe na reference nzuri ya watu wanajulikana, mwelevu wa mambo na aliye mbunifu wa mambo kwani atakuwa na kazi kubwa kidogo ya kubuni mambo (self initiatives). Kujua kiingereza cha kusoma na kuzungumza ni lazima. Interview ya kwanza itafanyika kwa simu kwa lugha ya Kiingereza. Awe anaijua computer applications vizuri, MS Word, Excel Power point na internet. Ninataka kuanzisha kiwanda cha kutengeneza mikate hapo Dar. Mitambo yote imeshafika toka Canada. Kazi yake ya kwanza itakuwa kufanya survey kuona kama biashara ya mikate hapo Dar inaweza kulipa. Anaweza kupanua wigo mpaka Morogoro, au hata Iringa akaona kama kuna biashara huko. Baada ya kujua ni wapi tutafungua biashara yetu basi atatafuta jengo (Vyumba viwili vya kazi na ofisi yake kwa bei labda ya Tshs 400,000.00 kwa mwezi kama rent) Akikamilisha hilo, basi tutafanya equipment installation, business registration, food and sanitory clearance na akishirikiana na mimi tutajiri vijanawengine kama watano hivi kuendesha production. Malipo yake kwa mwezi yataendana na production ya kiwanda chetu lakini hayatapungua Tshs laki tano kwa mwezi. Mbali na mshahara atapewaa gari lake (saloon car) kwa ajili ya kazi.
Akifanikisha hili, nitampa kazi nyingine ya kufungua stationery store (computer sales, internet, photocopying, picture taking, air ticketing, lamination, binding na vitu vya namna hiyo. Mashine za kazi hii ziko Dar tayari. Yeye atatafuta ofisi hapo mjini, maeneo yaliyo karibu na vyuo, au TRA ambako shughuli za namna hii zinahitajika. Akiiweza kazi hii basi nitampa kazi nyingine ambayo ni ya kufuata stationery equipment nje ya nchi kunakopatikana hivi vitu.

Haya kazi kwenu vijana. Kama unadhani unaweza kufanya kazi hii basi andika e-mail kabla ya march 15, 2013 na attachment kwa lugha ya unayoiona inafaa utueleze kwa nini wewe unaweza kuifanya hii kazi vizuri zaidi kuliko wengine na utahakikisha vipi biashara ya bakery, stationery na kisha airline ticketing inaweza kushamiri eneo unaloliona linafaa kuanzisha biashara hiyo. E-Mail yetu ni: pacificamarine@yahoo.com
 
Za saizi kaka yangu ngoja nikueleze umefanya jambo la maana sana tena kwa sasa soko hata dar ed salaam linawezekana kinachotakiwa ni mambo mengi nakuomba unitafute kwa mawazo ya awali wemwewe hautajuta kabisa tukiongea kaka maana watakuja wengine kwa ajili maslahi yao binafsi kwa ni kuwa makini na kumuomba mwenyezi mungu namba yangu ya simu 0714064767. Yaani ntakupa utaratibu fulani wewe mwenyewe utanidhania kaka
 
Dah, utafiti unaofanya utakusaidia sana kujua sehemu gani utafanya kazi yako vizuri, kama kweli ulikua unataka kuajiri mtu ungekua umeshaanzisha hiyo biashara kwanza.
 
Mipango mizuri. Vijana fursa hiyo jitokezeni
 
Za saizi kaka yangu ngoja nikueleze umefanya jambo la maana sana tena kwa sasa soko hata dar ed salaam linawezekana kinachotakiwa ni mambo mengi nakuomba unitafute kwa mawazo ya awali wemwewe hautajuta kabisa tukiongea kaka maana watakuja wengine kwa ajili maslahi yao binafsi kwa ni kuwa makini na kumuomba mwenyezi mungu namba yangu ya simu 0714064767. Yaani ntakupa utaratibu fulani wewe mwenyewe utanidhania kaka

Mungu anaandikwa kwa herifi kubwa....mwenzetu vipi????
 
Natafuta kijana , hasa mwanamme, awe na umri wa kati ya miaka 20-30 hivi, Form Six au aliye na Diploma ya profession yoyote ili ni nimpe kazi ya umeneja. Kijana awe na reference nzuri ya watu wanajulikana, mwelevu wa mambo na aliye mbunifu wa mambo kwani atakuwa na kazi kubwa kidogo ya kubuni mambo (self initiatives). Kujua kiingereza cha kusoma na kuzungumza ni lazima. Interview ya kwanza itafanyika kwa simu kwa lugha ya Kiingereza. Awe anaijua computer applications vizuri, MS Word, Excel Power point na internet. Ninataka kuanzisha kiwanda cha kutengeneza mikate hapo Dar. Mitambo yote imeshafika toka Canada. Kazi yake ya kwanza itakuwa kufanya survey kuona kama biashara ya mikate hapo Dar inaweza kulipa. Anaweza kupanua wigo mpaka Morogoro, au hata Iringa akaona kama kuna biashara huko. Baada ya kujua ni wapi tutafungua biashara yetu basi atatafuta jengo (Vyumba viwili vya kazi na ofisi yake kwa bei labda ya Tshs 400,000.00 kwa mwezi kama rent) Akikamilisha hilo, basi tutafanya equipment installation, business registration, food and sanitory clearance na akishirikiana na mimi tutajiri vijanawengine kama watano hivi kuendesha production. Malipo yake kwa mwezi yataendana na production ya kiwanda chetu lakini hayatapungua Tshs laki tano kwa mwezi. Mbali na mshahara atapewaa gari lake (saloon car) kwa ajili ya kazi.
Akifanikisha hili, nitampa kazi nyingine ya kufungua stationery store (computer sales, internet, photocopying, picture taking, air ticketing, lamination, binding na vitu vya namna hiyo. Mashine za kazi hii ziko Dar tayari. Yeye atatafuta ofisi hapo mjini, maeneo yaliyo karibu na vyuo, au TRA ambako shughuli za namna hii zinahitajika. Akiiweza kazi hii basi nitampa kazi nyingine ambayo ni ya kufuata stationery equipment nje ya nchi kunakopatikana hivi vitu.

Haya kazi kwenu vijana. Kama unadhani unaweza kufanya kazi hii basi andika e-mail kabla ya march 15, 2013 na attachment kwa lugha ya unayoiona inafaa utueleze kwa nini wewe unaweza kuifanya hii kazi vizuri zaidi kuliko wengine na utahakikisha vipi biashara ya bakery, stationery na kisha airline ticketing inaweza kushamiri eneo unaloliona linafaa kuanzisha biashara hiyo. E-Mail yetu ni: pacificamarine@yahoo.com

I thought you have already done "SWOT" analysis!!!!kumbe ndo unataka mtu wa kukupa ideas?then huyo inabid awe business partner not mwajiriwa wako!!!
 
Lugha ya Kingereza na uokaji mikate una uhusiano gani? Mimi ningekushauri elimy ya "Food Production" iwe sehemu ya qualification za huyo mtu. Vile vile mtu mwenye uwezo wa kusimamia kiwanda cha kuoka mikate siyo lazima awe na uwezo wa kusimamia "stationeries"- siyo biashara zinazolandana
 
Natafuta kijana , hasa mwanamme, awe na umri wa kati ya miaka 20-30 hivi, Form Six au aliye na Diploma ya profession yoyote ili ni nimpe kazi ya umeneja. Kijana awe na reference nzuri ya watu wanajulikana, mwelevu wa mambo na aliye mbunifu wa mambo kwani atakuwa na kazi kubwa kidogo ya kubuni mambo (self initiatives). Kujua kiingereza cha kusoma na kuzungumza ni lazima. Interview ya kwanza itafanyika kwa simu kwa lugha ya Kiingereza. Awe anaijua computer applications vizuri, MS Word, Excel Power point na internet. Ninataka kuanzisha kiwanda cha kutengeneza mikate hapo Dar. Mitambo yote imeshafika toka Canada. Kazi yake ya kwanza itakuwa kufanya survey kuona kama biashara ya mikate hapo Dar inaweza kulipa. Anaweza kupanua wigo mpaka Morogoro, au hata Iringa akaona kama kuna biashara huko. Baada ya kujua ni wapi tutafungua biashara yetu basi atatafuta jengo (Vyumba viwili vya kazi na ofisi yake kwa bei labda ya Tshs 400,000.00 kwa mwezi kama rent) Akikamilisha hilo, basi tutafanya equipment installation, business registration, food and sanitory clearance na akishirikiana na mimi tutajiri vijanawengine kama watano hivi kuendesha production. Malipo yake kwa mwezi yataendana na production ya kiwanda chetu lakini hayatapungua Tshs laki tano kwa mwezi. Mbali na mshahara atapewaa gari lake (saloon car) kwa ajili ya kazi.
Akifanikisha hili, nitampa kazi nyingine ya kufungua stationery store (computer sales, internet, photocopying, picture taking, air ticketing, lamination, binding na vitu vya namna hiyo. Mashine za kazi hii ziko Dar tayari. Yeye atatafuta ofisi hapo mjini, maeneo yaliyo karibu na vyuo, au TRA ambako shughuli za namna hii zinahitajika. Akiiweza kazi hii basi nitampa kazi nyingine ambayo ni ya kufuata stationery equipment nje ya nchi kunakopatikana hivi vitu.

Haya kazi kwenu vijana. Kama unadhani unaweza kufanya kazi hii basi andika e-mail kabla ya march 15, 2013 na attachment kwa lugha ya unayoiona inafaa utueleze kwa nini wewe unaweza kuifanya hii kazi vizuri zaidi kuliko wengine na utahakikisha vipi biashara ya bakery, stationery na kisha airline ticketing inaweza kushamiri eneo unaloliona linafaa kuanzisha biashara hiyo. E-Mail yetu ni: pacificamarine@yahoo.com

Mi sikufichi kwa strategy hii unazika mtaji wako! Ubahili mdogo utakucost! Soko lenyewe la mikate hili hapa dsm la kunyanganyana na Azam, Royal Oven na waarabu na wapemba wengine wenye bakery zao litakutoa kamasi.

Hapo babu lao ni Azam ndo anashikilia tenda zote za wizara 90%, Majeshi yote, shule karibia zote za sekondari na binafsi, na taasi karibia zote za kiserikali, na binafsi za kusupply vitafunwa. Na hapa ndo faida ya bakery ilipo lalia kwenye stable market. Inshort kwenye tenda za vitafunwa karibia kampuni zoote hadi za binafsi, ngos, hadi miradi hapa Bongo Azam kalogaaa mbayaaaaaaa! Na mganga wake mkali.

Sasa kuchukua Amature wa form 4, hajui A wala B ya tenda process ni kujidanganya! Tena asubuhi kweupeeee.

Wewe nenda kabomoe huko huko kwa Azam chukua kichwa pale kikufanyie part time, sababu ana conections za mda mrefu ni piece of cake kwake.!

Tukija part B ya soko la mikae Route sales ndo pasua kichwaaa kweli kweli! Watu na degree zao linawatoa kamasi, acha kabisaaa! We sikia tu kwa wenzio.

Kwa mkoani coz Azam huko kaachia wengine soko liko kubwaaaa sana! Ila ni jinsi gani uliteke in 2 months na kuwa monopoly i wont tell you that for free aisee! Maybe you pay me consultation feez! Im an expert by the way!

GOOD LUCK
 
Shilanona.

"so good to be true"

Yaan umeagiza vifaa kabla ya kufanya utafiti kama biashara ya mikate inalipa au lah?

Napata mashaka na ulichokiandika na ahadi zako za expansion ya stationeries, n.k

Alfredmkohiatgmaildotcom
 
am ready to work with you from the beginning to operation my contact is here under
0756637276
 
Nadhani sihitaji kubishana na wajumbe kupitia link hii.Analysis niliyofanya mpaka kuja kutangaza kazi hii si ndogo na hapo nilipofikia ni kwenye level ya juu sana ya uwekezaji. Mimi sihitaji kuajiri mtu atakayekuta kila kitu kimeshatengenezwa ili yeye afikie ofisini, huyo hana nafasi katika ajira yangu. Nataka employee wangu aje ashirikiane nami akiutumia ujuzi wake na akili yake na mawazo yake tufanye biashara. Upande wa pili, sihitaji business partners, mimi nahitajii employee nitakayemwambia cha kufanya, ananifanyia na mimi namlipa kutokana na kazi atakayofanya. Ningekuwa sijafanya SWOT analysis, nisingetoa mtaji kuwekeza katika sekta hii ili niajiri watanzania wenzangu wanifanyie kazi. Nawashukuru ambao wameshaleta CV zao na business proposals kwetu na kama unaona una mashaka na ajira hii basi akatafute kwingineko.
 
Hi Mr. pacifica hapo umewaweza wabongo ndo tulivo tunaongea sana na kukosoa wengine but kazi hatufanyi nakupongeza kwa kuwachana laivu
i think i need to work with you course i want to develop my idea concern with business.
i will be happy if you will consider my application
good night
hussein f. john
 
du! Kiinglish jamani huku. Njoooni muoneee!
 
Hata sasa hivi thru phone we can talk if u dont mind

Mbona umeanza kuharibu kwa kuonyesha kuwa hujui kiingereza cha kuandika, "thru" "u" "dont". Watanzania tujitahidi kuwa makini na vitu vidogovidogo hivi
 
Hi Mr. pacifica hapo umewaweza wabongo ndo tulivo tunaongea sana na kukosoa wengine but kazi hatufanyi nakupongeza kwa kuwachana laivu
i think i need to work with you course i want to develop my idea concern with business.
i will be happy if you will consider my application
good night
hussein f. john

Ungemalizia tu kwa kiswahili kaka Hussein teh teh teh
 
Nadhani sihitaji kubishana na wajumbe kupitia link hii.Analysis niliyofanya mpaka kuja kutangaza kazi hii si ndogo na hapo nilipofikia ni kwenye level ya juu sana ya uwekezaji. Mimi sihitaji kuajiri mtu atakayekuta kila kitu kimeshatengenezwa ili yeye afikie ofisini, huyo hana nafasi katika ajira yangu. Nataka employee wangu aje ashirikiane nami akiutumia ujuzi wake na akili yake na mawazo yake tufanye biashara. Upande wa pili, sihitaji business partners, mimi nahitajii employee nitakayemwambia cha kufanya, ananifanyia na mimi namlipa kutokana na kazi atakayofanya. Ningekuwa sijafanya SWOT analysis, nisingetoa mtaji kuwekeza katika sekta hii ili niajiri watanzania wenzangu wanifanyie kazi. Nawashukuru ambao wameshaleta CV zao na business proposals kwetu na kama unaona una mashaka na ajira hii basi akatafute kwingineko.

Short, clear and direct to the point. Tatizo la wabongo wanataka ku bargain katika kila kitu. Mtu hataki kufuata alichoambiwa anaanza kuleta blah blah zingine. We still have a very long way to go kwa mtindo huu. Na tutaendelea kuililia serikali kila leo. All the best mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom