Salaam!..
Nilicheat na mdada mzuri na mwenye uelewa kwa vigezo vyangu anyway_na hii ilikua wiki iliyopita,...sasa juzi kanipigia cm nimpitie ofisini kwake(ana duka la vipodozi).tukaenda sehemu kupata 1 moto 1 baridi ingawa yeye hatumii kileo,..akanipa simu yake eti nimshikie mpaka tutakapoagana.
Sasa ndipo nikaanza kuipekechua kuangalia kilichomo ingawa kwa uangalifu mkubwa asije akajua nafanya nini?...haa!..nikajagundua amenisevu eti "my husband",.....mmmmh!..sijamuuliza ingawa nimeshangaa kidogo kwani,anajua fika nina mpnz wangu ninayempenda ingawa nimemcheat.
My take:Je_hii ndio stail mpya badala ya ile ya baby,sweet,honey etc......au kuna maana ingine nyuma ya pazia?
Nb:msiniulize kwanini sijamuuliza
Nb:msiniulize kwanini sijamuuliza
<br /><font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">IGWE bana.......basi tena ndio umeshaniwahi......</span></font></font>
simple...alikupa simu ili uone jinsi alivyokusave...amka.[/QUOTE]
kuna ka ukweli hapo mkuu,.....ila mm sipatwi ki hivyo
Akupate mara ngapi mkuu...
IGWE ulitaka akusave "Vocha Dar"
<br />kwani ukicheat ni kwamba haumpendi mpenzio,..........nimeelewa na sitarudia
nilijua watu wenye mawazo kama ya kwako wapo wengi_hivyo kujilinda nikafunga vioo,...lete hoja preta_nini hiyo ki2 my husband
<br />watu wana upec eehh...hamna week kwenye relation tayari mnabatizana majina...kazi ipo.
limbwata huanzwa kulishwa kwa namna hii......