Re: Msaada tafadhali

Re: Msaada tafadhali

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
883
Nikitu kisicho cha kawaida ila ni kisa kilichomtokea rafiki yangu baada ya kugundua kwamba anae mnengulia na kumpagawisha ni baba yake wa kumzaa story iko ivi huyu rafiki yangu tangu kuzaliwa kwake hajawai kumjua baba yake mzazi kila alipojaribu kumuuliza mama yake alimjibu kuwa baba yako alikukataa tangu ukiwa tumboni kwahiyo sijahangaika kumtafuta wala sijui alipo kama yupo hajui kama yu hai au kafa basi shost akawa kashazoea ile hali ya kulelewa na mzazi mmoja.. basi bwana siku ya siku tukiwa mwaka wa mwisho chuoni shoga akaniambia leo nataka tutoke ukamuone shemeji yako bila hiyana nikakubali maana ilikuwa wikend chuo kuna boa basi mida ya saa moja tukawa tumeshajiandaa tayari kwa mtoko shost akapiga cm kwa dreva tax wake akaja kutuchukua basi tukaenda mpaka eneo husika nikatambulishwa kwa shemeji basi tukala tukafurahi siku ikapika.. shoga yangu akawa kila wakitoka anapewa zawadi mara laptop, pesa mpaka gari alimnunulia na nyumba akampangia kabisa akawa kama mke mdogo maana huyo baba tayari alikuwa na familia yake mke na watoto kwahiyo shost akawa kama kimada.. waliendelea na uhusiano huo kwa miaka miwili sasa baada ya kumaliza chuo alimtafutia na kazi kabisa so ikabidi amwambie mama yake kwamba amepata kazi kwahiyo atakuwa anakuja mara mojamoja kumsalimia mama alikuwa dsm yeye akawa morogoro....basi mwaka mmoja mbele yule shoga akapata ujauzito akamjulisha mama yake mama yake akamwambia ni jambo la heri akamuuliza je muhusika ni nani? akamwambia wala usijali mama wiki ijayo nitakuja nae dsm ili upate kumjua mkweo mama alifurahi sana basi siku ya siku ikafika mama akaita ndugu jamaa na marafik ili wajumuike kwenye sherehe ya utambulisho ebwanaa hapa ndo kasheshe lilipoanza shost kafika anamngoja muhusika aje ikabidi ampigie cm akamwambia nipo njiani alipofika wazee wakaenda kumpokea kwa ukarimu wakampeleka sehemu husika sasa mama mtu kuja kumuona akamgeukia mwanae akamwambia huyu ndo mwenye mimba au ? akamjibu ndio mama huyo ndo mkweo mama akapiga ukunga akazimia palepale kuja kuzinduka anajikuta hosp...
 
Ndio laana ya UZINZI na maisha yasiyompendeza Mungu.

Mungu huwaumbua wabaya kwa matendo yao na huo ndio mtihani aliojitakia shoga yako, baba yake na mama yake shoga yako.

1. Baba anamkataa mtoto wake na kuishi maisha yote bila kukumbuka kama ana binti, kosa la kwanza. Kosa lake la pili, ni kuacha ndoa yake na kurukaruka nje. Amefikia hata kuzaa tena. Haya ni maisha ya wanyama

2. Mama yake shoga yako naye ni mpumbavu pia. Kauli yake ya kwamba kupata mimba ni jambo jema inadhihirisha si mzima kichwani. Mimba bila ndoa ni majaribu sio jambo jema. Na angeambiwa kabla angebisha, lkn sasa wote twaona kuwa ni jaribu. Kama binti angempeleka huyo mwanaume kabla ya kuingia naye masuala ya mwili basi ilikuwepo nafasi ya kuzuia uharibifu huo.

3. Shoga yako ndie mpumbavu hasa. Hivi msichana anayefanya urafiki na mume wa mtu ilhali akijua ni mume wa mtu huwa na akili ipi? Kwa mimi halinishangazi sana kwani uharibifu wa dunia hii ulianzia kwa mwanamke, lkn na wengine mnajiuliza hili?

Binadamu tusiishi kama wanyama. Sasa kwa haya tujifunze kwa hili hususan wewe ambaye naamini katika hatua za mwanzo uliona kuwa rafiki yako amepata bahati, na si ajabu hata ulimuonea wivu.
 
itsnot about shingo ishu hapa ni kisa cha kweli kuwa uyaone ndugu eboo ukunga ni kilio.. mama alipo zinduka akaeleza story mwanzo mwisho sasa shoga kachanganyikiwa hajui la kufanya mwanaume anae mpenda ndo anaambiwa ni baba yake mzazi mbaya zaidi ana mimba yake its very confusing anaomba ushauri je atoe hiyo mimba au? yupo njia panda mimi sio msimuliz mzur nadhan mmepata mwanga mpeni ushauri anatamani ata kunywa sumu
 
Wonders shall never end...
Mshauri tu waendelee....
A poor workman always blame his tools...
 
Asiitoe mimba, azae tu na aendelee kuishi na huyo mwanaume, si baba yake? Alimkataa wala asiumize kichwa huyo si baba yake kabisa.
 
Back
Top Bottom