Re: Msaaada internet connection sharing windows 7 problem

Re: Msaaada internet connection sharing windows 7 problem

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
11,737
Reaction score
18,927
Wadau ninatatizo nataka nirushe net (wireless) iliniweze kudownload vitu kwenye mobile phone via WIFI sema tatizo nikitumia njia ya ad hoc nikitaka ku enable internet connection sharing inaniambia windows has failed..inaleta ka hep ka ICS(internet connection sharing) ambacho kina ni-direct baadhi ya procedures nikizifuata zote inaniandikia (null) error xx9XX mimi natumia modem ya tigo..nimesearch documentations google nimeshindwa firewalls iwe automatic iko automati natumia Internet Seurity ya AVG 2013..nimeweka connectify inaniambia feautures ni za pro..ambayo inalipiwa dola kadhaa naombeni msaada kwa wanaojua..windows yangu ni 7 home edition..64bit...!!! cha ajabu nikitumia pc nyingine inarusha kama kawaida...!!!
 
Jaribu Kutafta Conectfy Na Uitumieeee!! imo Kwenye Torrents Ila Hata Kule Jfstore na haa Imewah Tupiwa!!! pia Unaweza Kutumia Latest Version Ya Mobile Patner Kama Una Moderm Ya Huawei Lakini Nayo Ipo Humu Piaaaa!!
 
sidhani kama kuna simu nyingi zinazokubali adhoc network tafuta hii program ndo nayotumia virtual router manager
 
sidhani kama kuna simu nyingi zinazokubali adhoc network tafuta hii program ndo nayotumia virtual router manager

Most Of Symbian Device Na Hata Ios [i phones Ipads, i Pod] na windows Device zna suport Adhoc Ila Androids Hazisuport.. blackberry Devices Sjawah Jaribu.. pia Bada Os Zna Suport Piaaa
 
Back
Top Bottom