Re:Maombi ya kufundishwa kula bata...!!!

Umekutwa na nn tena?

Daah mkuu,si nikapelekwa sijui Capetown Fish Market?? Aisee visenti vyangu vikapukutika ghafla kimasihara nikaona sio kesi ikabidi nikachukue ingredients zangu za kutosha, this is wats going on..
 
wacha bwana hujui kula bata ....? mwanzio niko unguja tangu jana nakula hao bata .....karibu!

Aaah mkuu......hebu njoo nipe tafu hapa TATU.........huyu bata sijui ni bukini......
 
Karibu 24/7 night mere wala bataz family...mjomba ukiwa na mpunga wako usijali utakula bata mpaka basi....asubui tunaazia kitaa contena pub pale ilala,kunywa light light na mchemsho wa kuku tukisindikiza mdaa saa moja moja tunaamia town sasa las vegas pale tuna gonga light light pale mpaka saa nne nene gari vuuuuu na totoz mpaka beach combaa kula bufee na wine za kudailutia mshoshi...then ngomaa sita sita watu hao mpaka run ways.....hapo tuna kamua hadi nane part lina zamia maisha club mpaka saa kumi na nusu hao magetoni na mtoto mzurii tayari kwa kiburudisho.....upo mkoo hiyo ni rafuuu tu ya bata kwa weekend moja,ila kama mpunga wako wa mawazo better ukanywa virobaa tu
 
hee jamani hata mi sijawahi kula bata
 
dah! kwahiyo tusio na mpunga inakuaje?
 
mkuu B'REAL nimekuelewa sana. daah Las Vegas nina mda sijatimba ila nilikua napenda hali ya hewa ya mule,halafu nikiingia ndani navuka ma slot mashine naenda directkule kaunta kula shots za tequila
 
Last edited by a moderator:
Hakikisha una marionate vizuri maana bata ana shombo sana.
 
mkuu b'real nimekuelewa sana. Daah las vegas nina mda sijatimba ila nilikua napenda hali ya hewa ya mule,halafu nikiingia ndani navuka ma slot mashine naenda directkule kaunta kula shots za tequila
ndo zetu mekuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…