Re- Jamaa huyu hakusahaulika hata alipotoka madarakani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re- Jamaa huyu hakusahaulika hata alipotoka madarakani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gervase, Aug 25, 2011.

 1. g

  gervase Member

  #1
  Aug 25, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakusahaulikwa kwani ndiye aliyetoa ahadi nyingi za ukwel kuliko kiongozi yeyote aliyepita, aliwashawishi akina female kuwa ni handsome wakampa kura za ndiyo, aliwakemea washikaji zake wasitumie nafasi zao au ushikaji kufisadi, alichora ramani ya dunia kwa kuizunguka kuliko hata international cartographers, hakukubali mali yoyote ya nchi yake iende nje ya nchi (wanyama, magogo, samaki, udongo wa dhahabu..dhahabu yenyewe usiisemee kwani ni siri ya serkl na invester), alinunua mandege makubwa.., akanunua meli za kutosha, barabara na reli zikatengamaa. Alipokuja na mkakati wa dhararua wa mgawo wa giza, nilisema mzee umefanya ya kutosha bora na wewe upumuzike wengine wajaribu kuokoa jahazi ili kwa heshima yako usije jeruhiwa na wale wanao ona ukweli wako hata kama wanatumia miwani ya giza. Wana jf mpo hapo? Kiongoz km huyu kwel atasahaulika? We utamkumbuka kwa lipi?
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  atakuwa kilaza Sugu huyo mbunge wa Mbeya.
   
 3. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Huyu atakuwa ndo yule, mtu akikufananisha nae lazima upigane. Kuwa kama yeye ni zaidi ya tusi la ch*p*ni.
   
Loading...