Re : Interview FROSAN

PSPA Pure'12 udsm

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
834
Reaction score
450
Habari zenyu wakuu!!

Nimeitwa Interview na kampuni tajwa hapo juu kwenye post ya Sales person.

Nimeambiwa interview ilianza jana kwa baadhi ya watu. Kwahiyo naomba kama kuna yeyote kati yenu aliyefanya nao au mwenye kujua wanafanya biashara gani anijuze maana niliomba tu na sioni kama wana website.

Nitashukuru wakuu!
 

We jamaa zinakutosha???
 

Kabla sijakujibu na kukupatia ushauri, naomba unijuze namba waliyotumia inaishia na 170 au ni tofauti. Hebu saidia nawe hapo kwanza ndio nikupe mambo kadha wa kadha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…