1974hrs JF-Expert Member Oct 27, 2014 741 536 Mar 14, 2016 #1 Atakayeleta fujo na huku ameambiwa asilete fujo atachapwa tu!na mimi nasema wachapwe tu maana hamna namna
Atakayeleta fujo na huku ameambiwa asilete fujo atachapwa tu!na mimi nasema wachapwe tu maana hamna namna
P Percival JF-Expert Member Mar 23, 2010 3,507 2,414 Mar 15, 2016 #2 tatizo ni siku mchapa akianza kula kichapo
Capitano JF-Expert Member Apr 7, 2011 1,959 1,633 Mar 15, 2016 #3 Sasa hiyo ni machine ya nini? au ya kupima kiwango cha hasira?