Re:Apewa Talaka kwa kutengeze Buno.


Cha moto anakiona sasa manake mume hataki hata kusikia na mbaya zaidi ni mume ndugu,iyo aibu yake sipati picha...
 
Nilikuwambia siku nyingi U pippo.... mnahitaji leader mkali hapo !!
ZZ unajua bwana yule anavyo dekeza mkewe leo hii amekua mkali na mamuzi hapo hapo nimechokaaa,sikumtegemea,
Ameambiwa na mzazi wake sio vizuri mrejee kasema hilo asitarajie mie ZZ siamini masikio yangu kama zuzu yule anaweza kuongea...
 

Dr hivi hayo maboobs akija kubeba mimba hayawezi kuleta madhara?
 
pamoja na ku-edit lakini bado haijakaa sawa. Vipi, ndiyo mambo ya shule za kata au kwikwi ya kuachika dada yako?
 
ZZ unajua bwana yule anavyo dekeza mkewe leo hii amekua mkali na mamuzi hapo hapo nimechokaaa,sikumtegemea,Ameambiwa na mzazi wake sio vizuri mrejee kasema hilo asitarajie mie ZZ siamini masikio yangu kama zuzu yule anaweza kuongea...
Laa hawala...
 
Dr hivi hayo maboobs akija kubeba mimba hayawezi kuleta madhara?
Sidhani kama ataweza kunyonyesha,manake yame kaa vizuri magumu hata kwenye nguo unaona nimemuliza hayaumi
hakunijibu lakini yatakua yanauma manake asinge kata kumpa mume,au sijui yule bwana nae alikua anayafikicha kama anafua nguo...
 

bahati inaendaga kwenye hamna.....
 
Dr hivi hayo maboobs akija kubeba mimba hayawezi kuleta madhara?
Kuna asilimia kubwa asiweze kunyonyesha.Kwasababu upasuaji unaweza kuharibu nerves na milk producing ducts and glands.Nerves zinachochea uzalishaji wa hormones kama oxytocin and prolactin ambazo zinahusika na utengenezaji wa maziwa.Kama mfano chuchu na eneo linalozunguka chuchu halikuondolewa lipo kwenye ziwa kuna uwezekano mtu aweze kunyonyesha.
 
Doc.. Mashkurra kwa somo na mafunzo mazuri !! yaleitani wadada wajifunze !!
 

na pia ziwa huwa linatanuka kipindi cha ujauzito.
naona kama kutakua na tatizo juu ya hilo.
mambo mengine tuyaache tu jamani si kila kitu cha kufanya.
 
na pia ziwa huwa linatanuka kipindi cha ujauzito.
naona kama kutakua na tatizo juu ya hilo.
mambo mengine tuyaache tu jamani si kila kitu cha kufanya.
nimdogo lakini haogopi yani mie hata ukiniuliza wanafanywaje mpaka wakawa na makalio hayo sijui wengine sijui sindano,wengine sijui cream basi Tafran moja kwa zote.
 
You are beautiful as you are!God created every being as unique as possible and that defines you as a person.

Absolutely! What really baffles me is that she was already married. If she was doing it to get married, though unjustified anyway, maybe one would understand.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…