Kwanza mume mwenye wala hana mambo ya sijui uwe na buno wala sijui makalio makubwa wala miguu,ameridhika na mkewe alivyo,yeye alojitia balaa,mie zz nilikua sijui kama India nao wanafanya nimeshangaaje....OMG !! Masayibu gani tena watoto wa diig.com ?!! walao angelichukuwa ushauri kwenu.... Pole sana.
unajua Mkuu ninge muelewa kama mume angekua ana lalamika huna miguu mizuri huna sijui makalio,lakini mwanamme wawatu mpole lakini kamfanya bubu aseme..Huuuuuuuuhh huuuuuhh ndo zile mambo za chausiku kapendwa na mzungu kajibadili awe mweupe akapigwa junction ya ndoa...! Hawa viumbe bhaaana mmmmmhhh wacha tuu niache kuendelea koz utasikia ooohh tunasemwa vibaya ooohh hivi....
Nimemuomba ampe fursa akifanya tena ndio ampe talaka kasema sisubiri tena,wala hakunifanyia mimi yuko alomfanyiaKumbe ni make up tuu x2 Kifua kimepigwa jeki, makalio feki toka china straight Oh noo....... RAMA DEE-MAKE UP.
Huyo mume safi sana.
Yameshatokea !! na bado wengi watakosea !! Samahani sana tumekuwa watu tusiyo jifunza.....Kwanza mume mwenye wala hana mambo ya sijui uwe na buno wala sijui makalio makubwa wala miguu,ameridhika na mkewe alivyo,yeye alojitia balaa,mie zz nilikua sijui kama India nao wanafanya nimeshangaaje....
Mtumeeeeee,au ndio mana yanamuuma mume akiyashikaaa? mmmm mie siaminishi nakumbuka zamani kama 10yrs ago nilienda saloon kile kipindi watu wanatia Curl kuna mdada amekwenda kutia wakamuweka kwenye dryer akafariki hapo hapo basi tangu sikuile mpaka leo naogopa mimi ....Yameshatokea !! na bado wengi watakosea !! Samahani sana tumekuwa watu tusiyo jifunza.....
Sasa nikupe info za INDIA...
Mungu apishe mbali India imekuwa uwanja uchakachuaji wa kila aina (tiba sahihi na tiba feki)..; (urembo sahihi na urembo feki)..; (upandishaji wa viungo na uuzaji viungo haramu) !!
Sasa nyie mpo wengi kifamilia MashaAllah, Simjifundishe Usalooni, ushonaji na full-upambaji.... !! Faida gani ukoo mkubwa..halafu mnajiamuliaMtumeeeeee,au ndio mana yanamuuma mume akiyashikaaa? mmmm mie siaminishi nakumbuka zamani kama 10yrs ago nilienda saloon kile kipindi watu wanatia Curl kuna mdada amekwenda kutia wakamuweka kwenye dryer akafariki hapo hapo basi tangu sikuile mpaka leo naogopa mimi ....
Alhamdulillah tuko wengi lakini waloolewa waloa,wanaosoma na hatupo sote sehemu moja,ZZ kila mja anakipaji chakeSasa nyie mpo wengi kifamilia MashaAllah, Simjifundishe Usalooni, ushonaji na full-upambaji.... !! Faida gani ukoo mkubwa..halafu mnajiamulia
mambo bila kutafakar!!
Binaadamu haturidhiki my dear ni kama matumbo kila ukilipa chakula litadai msosi tu.Huyo bi dada amekosea mno kwenda kufanya plastic surgery bila kumshirikisha mumewe.Bila shaka amemuoa kwasababu amempenda jinsi alivyo.Sasa kuenda kujirekebisha bila ridhaa ya mume sijui ndo inakuwaje.Inawezekana amefanya kuboost her own self esteem like amekuwa mbinafsi kwa kiasi fulani hapo kwasababu mwili wao ni mmoja sasa.shosti i wish ange jua kua ni mzuri,na she is Beautiful mwembamba mrefu sasa sijui nini alitaka mpaka akajitia balaa..