Weekend aje aje?
Je wewe ni msanifu majengo? mimi ni mtanzania wa kawaida (wa kima cha kati ) ambae ningependa kupata ushauri kuhusu ujenzi pamoja na ramani ya kibanda kama tukielewana.
Kama wewe ni wa fani hiyo kutoka chuo cha Ardhi ninaomba tuwasiliane kwa inbox.
Ahsante.