Ndo maana naamini viongozi wote wakipunguziwa japo robo mshahara itakua poa. Hii ni kwa wote wa serikali mahakama na bunge. Kama wataona pesa ni ndogo bac huku nje kuna watu wanaoweza kuishi kwa nusu ya mishahara hiyo na wakafanya kazi kwa uadilifu na uaminifu.
Kwani ukijua itakusaidia nini kwenye Maisha yako ukijua wanalipwa shilingi ngapi?
Au unatafuta namna ya kumbana mumewe akupe mshahara wote, maana kuna Wengine mnaishi kama Mashetani.
Nakushauri tafuta hela zako achana na Fedha zinazotafutwa na Mume wako, maana Mume wako leo anaweza kuwa nazo na kesho asiwe nazo. Pia Mume wako naye ni Binadamu anaweza kupoteza maisha akakuacha uendelee kutafuta kukodolea mimacho vitu visivyo kuhusu.
Unazijua kazi za DC? HUWA HAWANA KAZI!! yeye anakaa kusoma magazeti na kusimamia kamati ya ulinzi na usalama kazi inayofanywa na OCD.. bye ushuzi hivyo