Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,436
- 1,627
Kwa mkuu wa mkoa hulipwa sh. Million 6 kabla ya kodi.. pia nyumba wanazoishi za serikali hulipiwa utilities zote (maji, umeme)..
Wakuu wa wilaya hulipwa million 3 kwa mwezi kabla ya kodi
Ili ugombee u RC?Habari!
Naomba kuuliza Mkuu wa mkoa au Wakuu wa mikoa wanalipwa Tsh. ngapi?
Karibu!
Inategemea! Kama huna vyeti unalipwa zaidi hasa Kama upo radhi kumwaga damu kutetea PHD na UDIKITETA UCHWARAHabari!
Naomba kuuliza Mkuu wa mkoa au Wakuu wa mikoa wanalipwa Tsh. ngapi?
Karibu!
Kwa mkuu wa mkoa hulipwa sh. Million 6 kabla ya kodi.. pia nyumba wanazoishi za serikali hulipiwa utilities zote (maji, umeme)..
Wakuu wa wilaya hulipwa million 3 kwa mwezi kabla ya kodi
Malipo yanategemea na connection aliyonayoHabari!
Naomba kuuliza Mkuu wa mkoa au Wakuu wa mikoa wanalipwa Tsh. ngapi?
Karibu!
Ataenda na baba yake hifadhi ya taifa burigiHuyo RC nina imani baada ya utawala wao,anaweza teswa kama wanavyoteswa kwa sasa hivi kina Makamba wote na Kinana... tuombe uzima tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana. Nashukuru kwa ueleweshaji wako.Kwa mkuu wa mkoa hulipwa sh. Million 6 kabla ya kodi.. pia nyumba wanazoishi za serikali hulipiwa utilities zote (maji, umeme)..
Wakuu wa wilaya hulipwa million 3 kwa mwezi kabla ya kodi
Kwani hata muonekano wake kwa nyuma ni sawa na Godfrey Zambi wa Lindi? Pompeo si ameshasema jamani
Bwashee sijui hata, kama unajua chochote kitu tuambiane Kiongozi.Mtoa mada unajua sifa za kuwa mkuu wa mkoa lakini?ukiacha ile ya kujua kusoma na kuandika