Nimepokea kwa masikitiko makubwa habari za kuhusishwa kwa rco Kilimanjaro na biashara haramu ya sukari, ingawa siamini kama sukari ni ya shida tena maana imejaa kwenye maghala huko tpc mpaka wameomba mengine nje ya kiwanda hicho.
Sitaki kuonekana namlinda RCO huyu bali napenda nieleze ukweli wa mambo yenyewe na hii ni kutokana na hapo awali kutoa habari kupitia mtandao huu inayohusu tabia ya mwandishi alieandika habari hiyo na mwenzake ambae anaandikia gazeti la mwananchi, ni wazi kabisa habari yake hiyo iliyoko kwenye gazeti la Tanzania daima la 19.11.2012 ni za kizushi na kumsingizia RCO huyo.
Kwenye jf hii hii niliandika jinsi mwandishi huyo Charles ndagula na mwenzake Daniel mjema wa mwananchi waliovykuwa wakishiriki kuchukua rushwa kwa wafanyabiashara wa magendo wa sukari huko himo, rombo na mwanga.
Walikuwa wanachukua kati ya shilingi laki 5 hadi 6 lakini walipopandisha dau ndipo matajiri wakakasirika na mmoja wao akamgonga mwandishi ndagula
Kwa taarifa sasa tayari polisi walishaanza kufanya uchunguzi kwa kupitia ofisi ya rco ili kubaini waandishi hao na polisi wengine wa ngazi za chini ambao wamekuwa wakishirikiana na waandishi hao kuchukua rushwa kwa wauzaji wa sukari kwa magendo na tayari polisi walishapata taarifa za ndan kuhusiana na waandishi hawa wawili hii ikiwa ni pamoja na kupitia akaunti zao za benki na zile za m pesa ambazo zilikuwa zinaingiziwa fedha nyingi ikilinganishwa na malipo ya kazi zao. Na moja wapo ya uchunguzi wa awali ulionyesha ya kuwa wamebadilisha hata namba za simu za mikononi kwa ajili ya uovu wao huo.
Pia ucnhunguzi umeonyesha ya kuwa kwa kushirikiana na polisi wa chini ambao si waaminifu, wameunda zengwe hilo la kumharibia rco kazi yake njema ambapo waliandika taarifa za uzushi kuhusiana na rco na kuziwasilisha kwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro gama ukweli ni kwamba taarifa hiyo iliandikwa na waandishi hao wawili na kuwasilishwa kwa mkuu wa mkoa na watu wengine wanaojiita watu wema ili kuficha malengo yao
Cha kujiuliza waandishi hawa tuhuma za kwanza kabisa walimtuhumu rpc kwamba hawapi ushirikiano sasa iweje wamsafishe rpc na kumchafua rco? Hapa pia hawamtendei haki rco kwani wanatumia vyombo vya vya habari kumtuhumu mtu ambae hawezi kujitetea kupitia vyombo hivyo
Mimi siamini kama rpc, rc au hata waziri wanaweza kumchukulia hatua rco kwa taarifa za uzushi tu zilizopelekwa kwa rc na kama watafanya hivyo sijui watafukuzwa kazi wangapi maana kila mtu ataandika kwenye gazeti au jamii foram akijua wazi mlengwa wake atafukuzwa kazi!
Hawa jamaa sasa wanatfuta mahali pa kujishikia baada ya uovu wa kula rushwa za wafanya magendo kugundulika na rco huyu mahiri, wito kw serikali hapa iwachunguze, akaunti zao, kwanini wamebadilisha nambma za simu tena hivi karibuni wakati biashara ya sukari imepanda kasi
Hawa jamaa ni tabia yao kuwachafua wale ambao wanakataa kuwapa fedha za rushwa
Mmeona hivi karibuni Daniel mjema akiishambulia chadema na mbunge ndesamburo kuhusiana na afya yake ukweli wa tuhuma zake hizo umejulikana hivi karibuni na ni kwamba mjema alikwenda kwa ndesamburo na kumuomba shilingi milioni 4 kwa ajili ya masomo yake ya juu lakini mbunge huyo akampa shilingi milioni 1.8 tu lakini akamngangania huku ndesamburo akimwambia hana zingine matokeo yake ni chadema kuchufuliwa na mjema kila kukicha na kama viel haitoshi ameanza kumchafua mbunge mwenyewe bila sababu
Sasa ikifikia hatua mwandishi wa habari anatumia chombo chake kumchafua mtu kwa sababu binafsi basi habari haina maana tena
Haya nimewapa tena mupime yaliyomkuta rco na waandishi hawa kabla hamjahukumu sitaki niamini ya kuwa waandishi hawa wanashirikiana n arc kumngoa rco au kutuhumu vyombo vyenye kufanya utafiti kama ewura pamoja na tra na polisi na usalama wa taifa tena wanashirikiana na wahariri wao kuchafua watu bila wahariri hao kujua ya kuwa wanashirikishwa kuhalalisha uovu wa waandishi wao ambao si waadilifu