PreGE2025 RC wa Mwanza Said Mtanda: Ambao hamkujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura msijali, zoezi litarudiwa

PreGE2025 RC wa Mwanza Said Mtanda: Ambao hamkujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura msijali, zoezi litarudiwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,439
Reaction score
6,691
Wakuu,

Nikadhani zoezi la wananchi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura lilikuwa limeshaisha.

Naona leo RC kajitokeza kuja kuisemea tume!

Akiwa anazungmza hivi karibun Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amesema kuwa wananchi ambao hawakupata nafasi ya kujianfikisha mara ya kwanza kwenye daftari la kudumu la mpiga kura basi wasijali kwani tume itarudi tena ili kuwafikia

Huyu alianza vizuri nafasi ya ukuu wa mkoa lkn sasa hivi Du mimi naona anakwenda tu
 
Jamani kwani nani kiongozi eenh? Wasemaji wa timu za mpira nao viongozi pia siku hizi wa serikali ,

Mfumo aka muhimili unavunjika sana siku hizi
 
Jamani kwani nani kiongozi eenh? Wasemaji wa timu za mpira nao viongozi pia siku hizi wa serikali ,

Mfumo aka muhimili unavunjika sana siku hizi
Sasa hivi wanawapangia hadi viongozi wa dini waongee ni nini! Hawataki waongelee haki, bali amani a.k.a uoga.
 
Back
Top Bottom