PreGE2025 RC Mwanza, Mtanda achangia milioni 5 ukarabati wa parokia ya Kome

PreGE2025 RC Mwanza, Mtanda achangia milioni 5 ukarabati wa parokia ya Kome

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

upupu255

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
341
Reaction score
476
Kwenye harambee ya Ukarabati wa jengo la kanisa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Saidi Mtanda ameahidi kutoa Tsh. Milioni 5 kama mchango wa awamu ya kwanza.
Screenshot 2025-04-02 094840.png
 
Back
Top Bottom