Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 17,343 Reaction score 26,901 Feb 3, 2017 #241 Karudi na gia ya wauza unga lazma wakamatwe maana mmepiga sana kelele
T The Certified JF-Expert Member Joined Feb 10, 2016 Posts 910 Reaction score 774 Feb 6, 2017 #242 NADHANI MMEPATA ALIPOKUWA HAHAHAHAHA HAHAHAHAHA HAHAHAHAHA [HASHTAG]#DARMPYAONDUTY[/HASHTAG]
Umba Tuku JF-Expert Member Joined Feb 4, 2017 Posts 2,100 Reaction score 1,271 Feb 6, 2017 #243 Huyo hapo matumbo joto moja haikai wala mbili
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,337 Feb 6, 2017 #244 Siku hizi haingii humu. Bujibuji said: Paul Makonda hebu njoo huku watu wamekumiss sana, hasa ile style yako ya mwisho ya kuwasimanga wenye viti wa serikali za Mitaa wa kutoka Chadema Click to expand...
Siku hizi haingii humu. Bujibuji said: Paul Makonda hebu njoo huku watu wamekumiss sana, hasa ile style yako ya mwisho ya kuwasimanga wenye viti wa serikali za Mitaa wa kutoka Chadema Click to expand...