Umenitoa Gizani
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 387
- 182
... Mtumishi wa uma hutaki kwenda likizo? Lazima utakuwa na tatizo!!Yuko likizo maana toka awe mkuu wa wilaya na sasa mkuu wa mkoa hakuwahi kwenda likizo......Ally Hapi lcouds 360 jana tarehe 06/01/2017
kwani mh mkuu wa mkoa kwao ni USA?Yuko likizo maana toka awe mkuu wa wilaya na sasa mkuu wa mkoa hakuwahi kwenda likizo......Ally Hapi lcouds 360 jana tarehe 06/01/2017
Mange anasema akivuka mtaa wa pili tu ndipo anapoishi yeye.anakula maisha USA kwa Mange
Kwani likizo Maana yake lazima uende kijijini kwenu?Ukiwa na likizo ndo fursa ya kutembea popote unapopenda duniani ndo Maana unaona wazungu wengi wanapopata likizo huja Africa hususan Tanzania kuona mambo mbali mbali ambayo kwao hakuna....pia ona wacheza soka kipindi cha likizo wanavyojazana huko Ibiza lakini sio kwao hukokwani mh mkuu wa mkoa kwao ni USA?
huoni hazingatii falsafa ya kubana matumizi inayosemwa na mkubwa wake?Kwani likizo Maana yake lazima uende kijijini kwenu?Ukiwa na likizo ndo fursa ya kutembea popote unapopenda duniani ndo Maana unaona wazungu wengi wanapopata likizo huja Africa hususan Tanzania kuona mambo mbali mbali ambayo kwao hakuna....pia ona wacheza soka kipindi cha likizo wanavyojazana huko Ibiza lakini sio kwao huko
Anatumia ngawira zake may behuoni hazingatii falsafa ya kubana matumizi inayosemwa na mkubwa wake?
Likizo siyo lazima uende kwenukwani mh mkuu wa mkoa kwao ni USA?