Paul Makonda na watoto "feki" akwama, aliyesema mtoto wa Lowassa faili lake laanikwa ni kada wa CCM

Kwa hiyo huyo mama mtu mzima, siku zote hakuwa anajua Lowassa alipo hadi aje kujieleza kwa Makonda? Au alishaenda kujitambulisha kwa Lowassa akakataliwa?
 
Nimeipenda daivesheni yako. Hao wanaume wote wawili waliomuoa huyo fatuma kwa kipindi tofauti tofauti ni majina kutoka mkoa wa mbeya lakini na mimi hiyo sio haja yangu!! lakini wasiwasi wangu ni kama umeokota majina hayo ya wanaume na kuyapachika hapo ili kuunga unga hoja.
 
Ibara ya 16 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano inasema; "Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi kwa nafsi yake, maisha yake binafsi na familia yake na UNYUMBA wake, na pia heshima na hifadhi ya maskani yake na mawasiliano yake binafsi".

Baada ya huyu mama kujitokeza na kudai ni mtoto wa Lowasa niliamua kumfatilia, Nimejaribu kumfatilia kwa ufupi huyu mama, bahati nzuri naishi nae huku Kigamboni namfahamu vizuri sana ni kada mtiifu wa CCM,

Jina lake halisi anaitwa Fatuma Selemani Chikawe, mtu wa Kusini huko Wilaya ya Nachingwea, amekulia Magomeni kwa mjomba wake aitwaye Majuto Yusufu Kamba, na maisha yake yalikuwa ya getogeto tu, Kwasasa anaishi mtaa wa Ungindoni Kata ya Mjimwema hapa Kigamboni.

Ameolewa na Musa Mwakifambwe mjumbe wa jumuiya ya wazazi CCM mkoa wa Dar, na kabla ya kuolewa na huyu kada mwenzake aitwaye Mwakifambwe, alizaa mtoto na bwana ambae anafahamika kama Kibona Ally Pesa mbili wa Gongolamboto,

Wote wa Wili ni makada watiifu wa CCM, nyaraka za mama huyu zote zinamuonyesha ni Fatuma Selemani Chikawe na sivyo anavyodai. Anaweza kuwa kweli ni mtoto wa Lowasa au laa, hilo halina maana wala sio msingi wa hoja yangu, kwakuwa ndugu zake hao wapo Monduli na mikocheni tu hapo angesafiri tu na kujitambulisha, waswahili husema mtoto ni baraka.

Hoja kuu ni timing ya jambo hili na inavyoendeshwa kisiasa hapa ndio utata ulipo na lazima kuwepo njia za za haraka za kulikabili, jambo hili halina tofauti na ile misheni ya kudhalilisha watu akina Mbowe, Gwajima, Manji nk, kwakigezo cha vita ya madawa ya kulevya.

Taarifa zingine za mama huyu zinahifadhiwa kwaajili ya baadae.....

Utapeli huu wa CCM na vibaraka wao uishie katika vibaraza vya lumumba...

Na Yericko Nyerere

soma: Hatari! Dada aibukia kwa RC Makonda na kudai ametelekezwa na baba yake ambaye ni Mzee Edward Lowassa

Soma: Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua
Duh, yaani huyu huyu Yericko Nyerere leo kawa mtetezi wa Lowassa? Aisee haya makarai hayatabiriki hata kidogo.
 
Nimeguswa na hapo mwishoni uliposhangaa Yeriko kumtetea Lowasa kipindi hiki! Hakuna cha ajabu ndugu, kwa kuwa hata wewe sasa hivi unamtetea Slaa, Lipumba, Kafulila, Shonza, Kitila na hata siku Lema akija huko utamtetea tu! Kuhusu huyo mama kama kweli ni mtoto wa EL akajitambulishe Monduli amsaidie mzee kufuga.
Mmmh akienda monduli mna Maana ndoa ivunjike? Na watot wake waende monduli pia?
 
Lowassa na Kikwete walikuwa ni "vipanga" wakati wa ujana nao!

Tatizo lenu mnadhani wanasiasa ni Miungu!

Nenda Dodoma ukajionee yanayofanywa na wanasiasa baada ya vikao vya bunge jioni ili ujifunze kuwa wanasiasa ni binadamu kama wewe kwa maana kuwa "mashine" zao zinafanya kazi katika "mazao" ya aina zote.

Kwani kuwa na mtoto nje ya ndoa ni kosa la jinai?

Kwa nini mnatumia nguvu nyingi kumteteta mwanamme utadhani ninyi ni wake zake?

Hujui kuwa na Lowassa alikuwa kada wa CCM na kwa mantiki hii alikuwa na nafasi nzuri ya kumpata kada mwenzake!

Leo Yericko amekuwa ni mtetezi wa Lowassa wakati kabla ya 2016 alikuwa analeta thread kila siku za kumponda Lowassa?

Hii dunia ni mviringo

Tutasikia na kuona mengi?
Acha nilale
 
Kwani mleta mada lengo lako hasa ni nini? nauliza tu.
Kwani lengo la bashite ni nini
Yeye ndiye mahakama?
Kwa nini wahusika wasiende mahakamani
Anawadhalilisha tu
Ustawi wa Jamii upo Wizara ya mama na mtoto ipo mahakama zipo yeye inamhusu nini au hao wamama wataleta viwanda kama si kiherehere ni nini
Aache upumbavu yeye sio baba wa taifa hili kuwafanya WaTz wajinga
Yeye kama ameshindwa kuzalisha akae atulie watu wamzalishie ebo!
 
Nani kamtetea Lowassa hapo Yericko kaeleza anavyomjua huyo ajuza, hata hivyo sijui lengo la huyo ajuza ni nini kumjua baba yake au kusaidiwa, maana mtu anatambulika ni mtoto akiwa chini ya miaka 18 sasa yeye kaolewa ana mme na watoto kibao anataka asaidiwe kitu gani.
Mkuu ajuza anataka baba yake ampatie mahali pa kukaa anasema hana mahali pa kukaa
 
Ibara ya 16 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano inasema; "Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi kwa nafsi yake, maisha yake binafsi na familia yake na UNYUMBA wake, na pia heshima na hifadhi ya maskani yake na mawasiliano yake binafsi".

Baada ya huyu mama kujitokeza na kudai ni mtoto wa Lowasa niliamua kumfatilia, Nimejaribu kumfatilia kwa ufupi huyu mama, bahati nzuri naishi nae huku Kigamboni namfahamu vizuri sana ni kada mtiifu wa CCM,

Jina lake halisi anaitwa Fatuma Selemani Chikawe, mtu wa Kusini huko Wilaya ya Nachingwea, amekulia Magomeni kwa mjomba wake aitwaye Majuto Yusufu Kamba, na maisha yake yalikuwa ya getogeto tu, Kwasasa anaishi mtaa wa Ungindoni Kata ya Mjimwema hapa Kigamboni.

Ameolewa na Musa Mwakifambwe mjumbe wa jumuiya ya wazazi CCM mkoa wa Dar, na kabla ya kuolewa na huyu kada mwenzake aitwaye Mwakifambwe, alizaa mtoto na bwana ambae anafahamika kama Kibona Ally Pesa mbili wa Gongolamboto,

Wote wa Wili ni makada watiifu wa CCM, nyaraka za mama huyu zote zinamuonyesha ni Fatuma Selemani Chikawe na sivyo anavyodai. Anaweza kuwa kweli ni mtoto wa Lowasa au laa, hilo halina maana wala sio msingi wa hoja yangu, kwakuwa ndugu zake hao wapo Monduli na mikocheni tu hapo angesafiri tu na kujitambulisha, waswahili husema mtoto ni baraka.

Hoja kuu ni timing ya jambo hili na inavyoendeshwa kisiasa hapa ndio utata ulipo na lazima kuwepo njia za za haraka za kulikabili, jambo hili halina tofauti na ile misheni ya kudhalilisha watu akina Mbowe, Gwajima, Manji nk, kwakigezo cha vita ya madawa ya kulevya.

Taarifa zingine za mama huyu zinahifadhiwa kwaajili ya baadae.....

Utapeli huu wa CCM na vibaraka wao uishie katika vibaraza vya lumumba...

Na Yericko Nyerere

soma: Hatari! Dada aibukia kwa RC Makonda na kudai ametelekezwa na baba yake ambaye ni Mzee Edward Lowassa

Soma: Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua
Hata muheshimiwa alikua kada mtiifu wa ccm. Huenda walikutana kwenye utiifu wa ukada na mama wa huyo mama.

Ila kusema kweli hili suala ni moja kati ya masuala ya kuidharirisha serikali. Nijuavyo mimi kuna vitengo husika vya kufanya hayo mambo ambavyo vinafanya kazi kwa weledi na ustadi mkubwa

Kuna ustawi wa jamii. Hawa wako vizuri kwenye kuhakikisha haki ya mtoto inapatikana. Tena kwa njia ambazo sio za kudhalilishana.

Kuna mambo mengine yanahitaji busara na hekima
 
.

Ni wapi imesemwa ni mtoto wa Lowasa huyu PM mstaafishwa?

Kwani akiwa ni mwanaccm ndio hawezi kuwa mtoto wake?

Kweli ukitaka kupata wasemaji, kuwa mwanasiasa mkubwa. Huwezi kosa 'court jesters' kama kina Yericko.. Ndio yale akisemwa mwarabu utaona 'waislam' wanapaza sauti, akisemwa 'israel' utaona 'walokole' wamesimamisha misuli..
 
Sababu huyo dada ni CCM inamaana hawezi kuwa mtoto wa fisadi Lowassa?

Wanasiasa wangapi wapo vyama tofauti na wazazi wao? Makongoro Nyerere mwenyewe hakuwa CCM ndo itakua huyu

Mbona mnatumia nguvu sana kumjibia fisadi Lowassa as though ni wake wenza. Muacheni ajisaidie mwenyewe
Na wewe hapa unatumia nguvu kubwa kumtetea nani, wewe una upande na wao wana upande, ugomvi upo wapi hapo. Tatizo la proponents wa CCM huwa hamtaki mtu kuwa upande usio wako, unatamani um pyupyu!!
 
Hayo unayosema yawezekana. Lakini kwa nini Makonda atumie nafasi ya kiserikali (RC) kutumia wakina mama was Dar kuvunjia heshima watu na kudhalilisha kina mama hao kwa kuwakusanya kwa malengo maovu?
Hili jambo sio LA kunyamaziwa hata kidogo na kama lina baraka za mkuu wa nchi basi ni dhambi isiyo sameheka kabisa!
Bora hata angewasaidia wanaume wa Dar...!!!
 
Ibara ya 16 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano inasema; "Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi kwa nafsi yake, maisha yake binafsi na familia yake na UNYUMBA wake, na pia heshima na hifadhi ya maskani yake na mawasiliano yake binafsi".

Baada ya huyu mama kujitokeza na kudai ni mtoto wa Lowasa niliamua kumfatilia, Nimejaribu kumfatilia kwa ufupi huyu mama, bahati nzuri naishi nae huku Kigamboni namfahamu vizuri sana ni kada mtiifu wa CCM,

Jina lake halisi anaitwa Fatuma Selemani Chikawe, mtu wa Kusini huko Wilaya ya Nachingwea, amekulia Magomeni kwa mjomba wake aitwaye Majuto Yusufu Kamba, na maisha yake yalikuwa ya getogeto tu, Kwasasa anaishi mtaa wa Ungindoni Kata ya Mjimwema hapa Kigamboni.

Ameolewa na Musa Mwakifambwe mjumbe wa jumuiya ya wazazi CCM mkoa wa Dar, na kabla ya kuolewa na huyu kada mwenzake aitwaye Mwakifambwe, alizaa mtoto na bwana ambae anafahamika kama Kibona Ally Pesa mbili wa Gongolamboto,

Wote wa Wili ni makada watiifu wa CCM, nyaraka za mama huyu zote zinamuonyesha ni Fatuma Selemani Chikawe na sivyo anavyodai. Anaweza kuwa kweli ni mtoto wa Lowasa au laa, hilo halina maana wala sio msingi wa hoja yangu, kwakuwa ndugu zake hao wapo Monduli na mikocheni tu hapo angesafiri tu na kujitambulisha, waswahili husema mtoto ni baraka.

Hoja kuu ni timing ya jambo hili na inavyoendeshwa kisiasa hapa ndio utata ulipo na lazima kuwepo njia za za haraka za kulikabili, jambo hili halina tofauti na ile misheni ya kudhalilisha watu akina Mbowe, Gwajima, Manji nk, kwakigezo cha vita ya madawa ya kulevya.

Taarifa zingine za mama huyu zinahifadhiwa kwaajili ya baadae.....

Utapeli huu wa CCM na vibaraka wao uishie katika vibaraza vya lumumba...

Na Yericko Nyerere

soma: Hatari! Dada aibukia kwa RC Makonda na kudai ametelekezwa na baba yake ambaye ni Mzee Edward Lowassa

Soma: Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua
Awamu hii katiba weka pembeni, hapa kazi tu.
 
Lowassa na Kikwete walikuwa ni "vipanga" wakati wa ujana nao!

Tatizo lenu mnadhani wanasiasa ni Miungu!

Nenda Dodoma ukajionee yanayofanywa na wanasiasa baada ya vikao vya bunge jioni ili ujifunze kuwa wanasiasa ni binadamu kama wewe kwa maana kuwa "mashine" zao zinafanya kazi katika "mazao" ya aina zote.

Kwani kuwa na mtoto nje ya ndoa ni kosa la jinai?

Kwa nini mnatumia nguvu nyingi kumteteta mwanamme utadhani ninyi ni wake zake?

Hujui kuwa na Lowassa alikuwa kada wa CCM na kwa mantiki hii alikuwa na nafasi nzuri ya kumpata kada mwenzake!

Leo Yericko amekuwa ni mtetezi wa Lowassa wakati kabla ya 2016 alikuwa analeta thread kila siku za kumponda Lowassa?

Hii dunia ni mviringo

Tutasikia na kuona mengi?
Kwahiyo yule bi mkubwa ni mtoto wa Lowasa???
 
Nani kamtetea Lowassa hapo Yericko kaeleza anavyomjua huyo ajuza, hata hivyo sijui lengo la huyo ajuza ni nini kumjua baba yake au kusaidiwa, maana mtu anatambulika ni mtoto akiwa chini ya miaka 18 sasa yeye kaolewa ana mme na watoto kibao anataka asaidiwe kitu gani.
Aliepaswa kulalamika hapo ni mama mzazi wa huyo bibi kizee,sio yeye
 
Back
Top Bottom