RC Makalla: Kazi yetu kama serikali ni kuhakikisha mafuta hayafichwi na yanauzwa kwa bei elekezi, mambo mengine ni ya kidunia nasi siyo Kisiwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,949
141,931
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema mafuta yako ya kutosha na meli nyingine nyingi ziko njiani zinaleta mzigo hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi.

Makalla amesema kazi ya serikali ni kuhakikisha wafanyabiashara hawafichi mafuta na kwamba yanauzwa kwa bei elekezi siyo bei za ulanguzi.

Tanzania siyo Kisiwa hivyo yanayoendelea huko duniani nasi yanatugusa kama mafuta kutouzwa kwa dola.

Source: TBC
 
Back
Top Bottom