Alitaka zipitie kwake azifanyie kama alivyozifanyia Mkuu wa Mkoa wa Arusha??
Siyo Tanganyika mkuu?Nani anipe nchi? Mi tayari nina nchi. Nchi yangu inaitwa Tanzania.
Ewaaaa... Tanganyika nchi yangu...Siyo Tanganyika mkuu?
Bashite ndio nani tena?Serikali kuu imewashtukia hawa maRC wapiga pesa. Imeamua ipeleke moja kwa moja kwenye taasisi. Sasa kinachowauma ni nini hao wapigaji?? Kwani fedha zilizojenga hosteli za UDSM zilipitishwa kwa Bashite??
Mwanaume wa Dar tokea Kolomije.Bashite ndio nani tena?
Nchi yako ingekuwa Tanzania usingeandika hayoNani anipe nchi? Mi tayari nina nchi. Nchi yangu inaitwa Tanzania.
mil 500 inajenga jengo la ghorofa nne Dar Es Salaam.....hapo hapo, 9.6Bilion, inenda kujenga nyumba za watumishi 13, mabweni 6, madarasa mawili na vyoo???? Hii nchi imejaa utapeli asieee!!!! Hizi kiki....zinawafanya msahau ya jana
HakikaHili ni fundisho na hapo ni CCM kwa CCM.
Tayari kapigwa chini.Hakika
Usimlishe porojo zakoMkuu wa Mkoa alikuwa anasisitiza commitment na accountability kwa viongozi.
Kwahiyo Makala yeye ndio mkali wa kusimamia kuliko wote,
Taa nyekundu ishamiwakia huyo ajiulize nikwanini hakuambiwa
Heri mimi sijasemaKwahiyo serikali kuu haina akili??