KAJUGUJUGU
Member
- Feb 12, 2013
- 27
- 9
hebu nikumbushe jina la huyo mtemi aliyewacharaza viboko walimu kipindi kileAmenikumbusha yule aliewachalaza walimu viboko akaondolewa ukuu wa wilaya.
Albert mnali huyo, alitembeza bakora kwa walimu hadi akabuliwa cheo chake.hebu nikumbushe jina la huyo mtemi aliyewacharaza viboko walimu kipindi kile
Jina lake nakumbuka moja MNALIhebu nikumbushe jina la huyo mtemi aliyewacharaza viboko walimu kipindi kile
hivi yuko wapiAlbert mnali huyo, alitembeza bakora kwa walimu hadi akabuliwa cheo chake.
Kwa sasa sijui, labda umuulize @lizabon au Simiyu Yetu labda wanajua alipo maana ni mwana-CCM mwenzao.hivi yuko wapi