johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,975
Leo askofu mkuu wa KKKT Dr Shoo amemuweka kitini askofu mteule wa dayosisi ya Konde Dr Mwakihaba
Katika salamu zake mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Homela amekitaka Kanisa hilo kutunza Imani ya kweli na siyo Imani ya dharura
Pia RC Homela amemwomba RPC wa Mbeya kuwasamehe Waumimi wa KKKT Kyela walioingia na Visu, Mapanga, Mashoka na Marungu ndani ya Kanisa na kufanya vurugu.
Hata hivyo Homela amesema Waumimi hao wakirudia tena basi RPC awanyooshe kama rula.
Chanzo: Upendo tv