pole dogo Gambo. ni njia yetu sote hiyo.Kwa masikitiko makubwa natangaza kifo Cha Dada yangu mpendwa Bi Mwajuma Gambo (akitoka yeye ni mimi) kilichotokea Jana tarehe 04/10/2018 kwenye Hospital ya Taifa Muhimbili Dar Es Salaam.
Mazishi yatakuwa siku ya Jumamosi tarehe 06/10/2018 Saa 6 Mchana kwenye makaburi ya MCHIKICHINI Ilala Dar Es Salaam.
Msiba upo nyumbani Kariakoo mtaa wa Mheza Karibu na Shule ya Sekondari ya Benjamini Mkapa. Mwaka huu tumepata mtihani mwingine baada ya kumpoteza tena mama yetu mzazi. Kazi ya Mungu haina Makosa!
Mwenyezi Mungu amjalie dada yetu kauli thabiti kaburini.
View attachment 887247
Lo pole sana ndg Gambo kwa madhira yaliyokupata.Kwa masikitiko makubwa natangaza kifo Cha Dada yangu mpendwa Bi Mwajuma Gambo (akitoka yeye ni mimi) kilichotokea Jana tarehe 04/10/2018 kwenye Hospital ya Taifa Muhimbili Dar Es Salaam.
Mazishi yatakuwa siku ya Jumamosi tarehe 06/10/2018 Saa 6 Mchana kwenye makaburi ya MCHIKICHINI Ilala Dar Es Salaam.
Msiba upo nyumbani Kariakoo mtaa wa Mheza Karibu na Shule ya Sekondari ya Benjamini Mkapa. Mwaka huu tumepata mtihani mwingine baada ya kumpoteza tena mama yetu mzazi. Kazi ya Mungu haina Makosa!
Mwenyezi Mungu amjalie dada yetu kauli thabiti kaburini.
View attachment 887247
Kuna sehemu hapo ukiweka herufi ya R tu kosa la mtandao.Anyway R.I.P sister wake GamboKumbe wanafiwaga
πππππPole sana Masiga,sisi sote ndiyo njia yetu..
Allah akupe Moyo wa subira Inshallah.
Hakika umepinda mkuu.Kuna sehemu hapo ukiweka herufi ya R tu kosa la mtandao.Anyway R.I.P sister wake Gambo
safiii safii safiiKwa masikitiko makubwa natangaza kifo Cha Dada yangu mpendwa Bi Mwajuma Gambo (akitoka yeye ni mimi) kilichotokea Jana tarehe 04/10/2018 kwenye Hospital ya Taifa Muhimbili Dar Es Salaam.