RC Chalamila: Ni Marufuku matangazo ya misiba

Waende fesibuku na Twita wapige marufuki.

Mtu akifa mzike kimya kimya.

Ndo kipaombele chetu
 
Sidhani wakazi wa Mbeya wamelalamika kuhusiana na hili ikizingatiwa ni jambo wamelifanya miaka nenda miaka rudi.

Hapo target kubwa ni kuficha idadi halisi ya vifo vinavyotokana 'matatizo ta kupumua' ambapo siku hizi vimekuwa vingi. Naamini wingi wa vifo hivyo umefanya kuwepo na matangazo mengi mitaani kila siku.

CORONA ipo, hata kama hamtotangaziwa.
 
Ni utamaduni wao wa miaka mingi. Hata vijijini huwa wanapita njiani wakipiga vigelegele vya misiba na kumtaja aliyefariki huku wakienda msiba uliko. Labda si vema mijini ambako kuna mchanganyiko wa utamaduni na pilikapilika nyingi za kijamii. Wengi hawahusiani na misiba husika moja kwa moja.

Lakini itakuwaje kwa matangazo mengine ya kibiashara na kisiasa?! Maana nayo husumbua wengine wasiohusika!
Eeee wanyakyusaa bhana.. Hadi marehemu wanamfanyia promo
 
Safi sana Rc. Hivi kweli kuna haja ya kufanya matangazo mji mzima kwaajili ya mtu mmoja?
Mbona ya Ki_jazii ilitangazwa nchi nzima, na hao waache watangaze kwa wapendwa wao.

Huu ujinga ukiendelea watasema hata msiba ukitokea mtaani usiwatangazie majirani.
 
Back
Top Bottom