Gunther Schwagermann JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 7,547 Reaction score 18,261 Jul 20, 2019 #101 comrade_kipepe said: mzuri sana wa kula tigo huyu Click to expand... Hivi hiyo kampuni ya tigo ina nini kushinda kampuni zingine.
comrade_kipepe said: mzuri sana wa kula tigo huyu Click to expand... Hivi hiyo kampuni ya tigo ina nini kushinda kampuni zingine.
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,682 Jul 21, 2019 #102 Wife wangu huyu hapa na namruhusu avae anavyotaka. Na ana heshima by far kuliko mademu wangu wanaovaa madera au magauni ya kwaya
Wife wangu huyu hapa na namruhusu avae anavyotaka. Na ana heshima by far kuliko mademu wangu wanaovaa madera au magauni ya kwaya
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,113 Reaction score 18,744 Jul 21, 2019 #103 mtafuta-maisha said: Hawa watu wameanza date hata kabla rayvanny hajawa rayvanny hata kabla wewe hujamfahamu Click to expand... Weweee usidanganye umma wameanza kudate baada ya vanny kuwa maarufu kabla ya hapo fahma alikua mdangaji na lynn na amina
mtafuta-maisha said: Hawa watu wameanza date hata kabla rayvanny hajawa rayvanny hata kabla wewe hujamfahamu Click to expand... Weweee usidanganye umma wameanza kudate baada ya vanny kuwa maarufu kabla ya hapo fahma alikua mdangaji na lynn na amina
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,905 Reaction score 42,074 Jul 21, 2019 #104 rubii said: Weweee usidanganye umma wameanza kudate baada ya vanny kuwa maarufu kabla ya hapo fahma alikua mdangaji na lynn na amina Click to expand... Heee amina yule dada ake fahima
rubii said: Weweee usidanganye umma wameanza kudate baada ya vanny kuwa maarufu kabla ya hapo fahma alikua mdangaji na lynn na amina Click to expand... Heee amina yule dada ake fahima
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,391 Reaction score 59,148 Jul 23, 2019 #105 Ndege wafananao huruka pamoja
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,391 Reaction score 59,148 Jul 23, 2019 #106 joshua_ok said: Sijawahi kupata demu mkali kama huyu. Naishia kula mijimama tu mitumbo kama viroba Click to expand... Hahaha wapeleke gym Waambie wale kwa mpangilio unaofaa
joshua_ok said: Sijawahi kupata demu mkali kama huyu. Naishia kula mijimama tu mitumbo kama viroba Click to expand... Hahaha wapeleke gym Waambie wale kwa mpangilio unaofaa
ZING SOKONI JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,512 Reaction score 57,105 Jul 23, 2019 #107 Aisee Saint Ivuga said: Wife wangu huyu hapa na namruhusu avae anavyotaka. Na ana heshima by far kuliko mademu wangu wanaovaa madera au magauni ya kwanya. View attachment 1158614 Click to expand...
Aisee Saint Ivuga said: Wife wangu huyu hapa na namruhusu avae anavyotaka. Na ana heshima by far kuliko mademu wangu wanaovaa madera au magauni ya kwanya. View attachment 1158614 Click to expand...
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,682 Jul 23, 2019 #108 YOUNGBLOOD said: Aisee Click to expand... Ndugu yangu mbona unashangaa😂😂