Vany boy nae anazingua sana ,wanyakyusa hatuna hizo pigo za ivo na inaonekana hana say kwa demu wake haiwezekan demu awe anajichoresha sana mitandaon we unamwacha tu ,mitandao ina mipaka yake .mbeya boy unatudharirisha wanaume wa mbeya nzima ,waige kaka zako izzo ,quickracka ,ay na wengine waliosettle kwenye mahusiano kiume zaid ,.