Mawatu kama hayo ndiyo yanayosababisha duniani kuonekane Wanaume/Baba wanaojitambua walikufa zama za WW1 kumbe ni upofu tu wa mapenzi kwa baadhi ya Wavulana
Navishangaa sana hivi visichana vinavyotembea uchi. Hivi kwani haiwezekani kujistiri vizuri? Ila navishangaa zaidi hivi vivulana vinavyotembea na visichana vinavyotembea uchi. Yote kwa yote vinafanana akili