Inasikitisha sana faini 850m? Namshauri Rayvanny afanye nyimbo zake zote kwa version nyingine kisha afungue accounts kwenye digital platforms zote naye aanze kuuza maana haki ya mtunzi ni yake Ray.
Dada yangu unaziibua threads ambazo zishapita na mambo yao yameisha au ndio kutaka kuzima issues ya CHEED na KILLY. Madogo (Cheed na Killy) wamepokonywa Crown na Harmonize na Account zao kwenye digital platforms zote issues ipo BASATA.