Rayvanny aachia video mpya ya – Chuma Ulete

Rayvanny aachia video mpya ya – Chuma Ulete

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,302
Mwanamuziki Rayvanny kutoka WCB ameachia video ya wimbo wake wa Chuma Ulete. Wimbo huo unaelezea kisa cha mapenzi ambapo mwanamke anamchuna mumewe na kutumia fedha zake kujiremba na kula na marafiki zake.

 
Japo ni mshabiki wa mzuki huu asee kila mwezi wimbo????Au ndio kutafuta pesa utube????
 
Aisee tuache utani, habari ya town sahivi ni ile nyimbo ya samahani waiter ongeza glasi, wacha nilewe, nilewe tu.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Back
Top Bottom