Raymond Reddington, Professor, Michael Schofield nani Genius?

DAD'S SON

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
392
466
Wapenzi wa movie wanaelewa nini nimeuliza hapo juu.

Naomba nisipoteze muda sanaaa kwenye hili

Kama umewahi kuona series ya blacklist naam utakuwa unamjua fika Raymond Reddington mzee alietumia akili nyingi sana mpk CIA na FBI wakaweka chini kofia.....pia FBI walimtumia sana kuwakamata waalifu coz mshua alikuwa kichwa sana...series tamu sana hii.

Professor mzee mwenye akili anaweza organize mambo chap chap japo sometimes anapanic but anawai kurecover then anaclear mess iliopo mbele....wewe kwa akili yako inwards the tengeneza gang (kikundi) cha wezi kama cha professor hahaha definitely not maana akili kubwa sana imetumika kutengeneza lile kundi,kuanzia ID zao mpk distribution of labour (mgawanyo wa kazi)...bana bana inatosha kuhusu professor fundi mwenye akili za kuona 2050.

Unasema unaweza toroka jela wewe ney ney labda jela ya ndani ya ndoto zako unazoota mchana ndugu yangu "Michael Schofield" muhuni alitoroka gereza lenye ulinzi ambao wewe usingweza hata kujaribu kuwaza kutoroka hahaha najua utasema simple ila sio simple akili nyingi sana ilitumika mpk jamaa alitoroka kwenye mgereza ulee wenye ulinzi km nyuki wakiwa wanamprotect malikia wao...unajua Michael Schofield kwann alienda jela??? Hapo utajua akili ulionayo unaweza tumia kusolve mambo.

Sasa iko hivi lengo la uzi huu mniambie nani alikuwa anatumia akili nyingi sana kusolve mambo maziiito, mimi nipo na mzee mwenzangu Raymond Reddington.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raymond Reddington 'Red' sio genius ilanimtu mwenye mipango mingi sana anajua kucheza na maneno na akili za watu maranyingi anatumia weekness za watu kufanikisha mambo yake na anamikwara mingi sana. 😂 na mkubali sana huyu mzee ni mafia hatari 🔥
 

Attachments

  • i.love.art.artists-20191124-0001.jpg
    i.love.art.artists-20191124-0001.jpg
    17 KB · Views: 7
Mambo yake yapo kiuhalisia zaidi
Nimeangilia series nyingi sana lakini bado sijapata kuona villain wa hivi balaa la huyu mzee 🔥 kitu gani hajui kwenye huu ulimwengu na taarifa gani unakosa kwake Google ikasome anasumbua FBI nk... 😂😂😂 Anawafanya kama watoto bhana afanyagi mission isionafaida kwake kila anachofanya ananufaika nacho hafanyi kazi ya kanisa huyu mzee 😂😂😂.
 
Raymond Reddington anaweza kukusababisha utamani kuwa muhalifu, jamaa ni Mastermind hatari sana, alafu ana sauti moja amazing sana yenye mamlaka, hana mapepe na anaona mbele mara 100. Mtu hatari sana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwenye mastermind hapo weka 1000% sio 100% ukipigiwa simu tu ukisikia sauti huyu ni Red lazima utetemeke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom