Ray Kigosi ashangaa kusikia kuwa alikuwa anabebwa na Kanumba

"Jitu lipo makambako, uvinza , Namtumbo ,Meatu nk alafu linauliza Ray ni nani/ Kanumba ni nani"😂

NB
Hayo sio maneno yangu,kuna mlevi kapita hapa ndio aleyatamka
 
Nakumbuka kipindi niko mdogo niliwahi kumwona King Majuto anafanya igizo la jukwaani pale DDC Kariakoo, enzi hizo akiwa na Muungano Theater. Haikuwa comedy, alifanya onyesho serious, nakumbuka story ilikuwa ya kusikitisha sana.
Sasa hao viduku wenu, sijui kama wanaweza kupanda jukwaani waigize kitu wawatoe watu wazima machozi kama alivyofanya Majuto siku ile.
 
Wewe na kiduku chako unaweza ?
 
Mzee alikuwa fundi yule
 
Ukinuondoa Mzee Majuto, then kwangu mimi huwa namuona JB yupo vizuri sana, ila funga kazi kwa sasa nadhani ni yule Msanii aitwaye Gabo, pia Shamsaford.
Hawa watu siku wakija kujitambua watafika mbali. Gabo anajua atakacho ila hana connection.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…