RAY C

Kwani amekuwaje tena? Zamani alikuwa vipi? Kiuno chake kimeingia mfupa siku hizi?
Zamani alikuwa hana mfupa kiunoni now mfupa tele

Asikwambie mtu MPIRA PESA
ukiwa na ELA we MZURI
huyu bidada nikimkumbuka kipindi kike anabugia dawa MWANANYAMALA HOSPTARI alivyokuwa kachakaa yaan mtu unamwambia unamuona RAY C yule
mtu anakubishia hapana siyo

wakuu tutafute ela ukiwa na ela we mzuri
 
Naona $$$$ zimekutakatisha hapo kwenye picha yako!
 
Ela ndio nini, na ni picha ya nani aliyoweka hapo? Mwenyewe kakuruhusu uweke?
 
Kweli kabisa,sasa hivi ukurutu wote umekwisha.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kama hiyo picha ni ya sasa bado yupo vizuri tu kwa upande wa macho yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…