inanikumbusha mbali, kuna mama mmoja alikuwa amezoea mtaani kipindi kile cha udogo wetu, kusukwa sukwa, si unajua wamama kusukana vibarazani, kumbe siku hiyo alikuwa hajavaa kufuli, akasahau akakaa akapanua miguu yote miwili kwa raha, mwenzie alikuwa ana msuka nywele kama kawaida, yaani kule chini aliacha uch.i wazi woote ukiwa umepanuka kabisa. sasa kuna dogo mmoja akapita pale wa miaka kama minne mitano hivi, akauona ule, alipiga kelele za ajabu, alisema" uchiiiiiiiii, una manyweleeeeee, njoni muone..hahaha, akaendelea kucheka kwa kushangaa kabisa akinyoshea kidole..inamaana yule dogo alikuwa amezoea kuona usio na manywele...yule mama mara ya kwanza alikuwa hajajua dogo anaongea nini, dogo alivyozidi kunyooshea kidole akajagundua hajavaa vyupi na dogo ameona...kusuka kuliishia palepale, na alihama mtaa kabisa yule mama...si unajua story zote mtaani zilikuwa zake..aibu tupu..