RAY C look alike

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
PIX.jpg
 
Hivi hawa dada zetu wanaona raha sana kutuonesha chupi zao na hayo mambulungu yao ya kifuani?Kwani wasipotuonesha wanafikiri hatutawapenda?Wajitahidi kujistiri basi tutawapenda tu hayo wanayoyafanya ni kujishushia hadhi tu hamna kingine
 
Hahaha mkuu mseminari aliishaweka kambi hapo! Watch out

babu please ufafanuzi,kwani huyu demu yupo bongo?inshu zake kiujumla ni zipi na mseminari ndiye nani manake mwenyewe kwa huyu bibiye udenda unanitoka pia.Kama waogopa mambo ya ze utamuzz niPM tu mkulu haina shobo!
 
Mseminari Liyumba kaka!
 
Hivi hawa dada zetu wanaona raha sana kutuonesha chupi zao na hayo mambulungu yao ya kifuani?Kwani wasipotuonesha wanafikiri hatutawapenda?Wajitahidi kujistiri basi tutawapenda tu hayo wanayoyafanya ni kujishushia hadhi tu hamna kingine
Tafadhali , sisi wengine tunapenda kuona hizo chakula ya watoto zikiwa ndani ya push-up bra bwana ,nakuacha kidogo imagination , itakuaje utusemee wanaume wote?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom