Ray C awafungukia mastaa wanaomponda shoga Caitlyn (Bruce Jenner)

Mie mbona nipo, niko naalika watu kila siku huoni wanaongezeka?
Bado tu binamu kujiunga tuanze kazi.

Mimi nadhan ntakuja wakijaa jaa nifungue group kwa ubuyu, si mpaka niende kwenye google nikaingilie uko ndo ntaliona group
 
Mimi nadhan ntakuja wakijaa jaa nifungue group kwa ubuyu, si mpaka niende kwenye google nikaingilie uko ndo ntaliona group

Yeah, njia ndio hiyo maana hakuna jinsi nyingine.
Basi usichelewe sana bwana watu tunakusubiri kwa hamu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom