Rav4

tezzy

Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
20
Reaction score
2
Wana jf nihataji kununua rav4 milango mitatu ya mwaka 1996-1999 (auto) ambayo ipo ktk khali nzuri. Bei isizidi 9m. Mwenye kuweza fanya hiyo biashara ani pm.
Natanguliza shukurani!
 
mkuu nipe kazi nikuletee ya uk, unanilipa m6 ushuru unalipa mwenyewe, kama huko tayari tuwasiliane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…