Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,052
inataka 37m.............maongezi yapo kwa mteja serious,Nichek 0714547830
hizi gari naskia zina engine balaa unakuja mrithisha hadi mjukuu
Titanic ukubwa wa engine plz
Kwa iyo bei inakuwa clear kwa maana imesajiliwa na kulipiwa kila kitu au?
Kivipi?fafanua mkuu!