C Chipskuku Member Joined Sep 29, 2021 Posts 17 Reaction score 24 Oct 8, 2021 #1 Wakuu Kwa DHATI naomba mwenye kuijua vema hii gari, Mafuta inatumiaje,(Lt per km), Spea zake, AC (how good it is), kwa kifupi faida na hasara zake kwa hii gari. Naomba saana, Mwishowe kwa Mil 9.5 naweza pata namba D?
Wakuu Kwa DHATI naomba mwenye kuijua vema hii gari, Mafuta inatumiaje,(Lt per km), Spea zake, AC (how good it is), kwa kifupi faida na hasara zake kwa hii gari. Naomba saana, Mwishowe kwa Mil 9.5 naweza pata namba D?
Prodigy Oligarchy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2020 Posts 571 Reaction score 656 Oct 9, 2021 #2 Angalia tuu, usichukue yenye D-4 engine Sio engine mbaya lakini mafundi wengi hawaziwezi. Nashauri tafuta yenye Vvt- i kavu
Angalia tuu, usichukue yenye D-4 engine Sio engine mbaya lakini mafundi wengi hawaziwezi. Nashauri tafuta yenye Vvt- i kavu