hii ndo hasara ya kutokuweka beiHongera! Mimi nina milioni 4 cash vp nikutumie sms uko tayar tumalizane
Price: Not less than TZS 10m/=weka bei mkuu
Hiyo sio Corolla mkuu, ni RAV4 tena milango mitano. Vinginevyo nikuunganishe kwa jamaa yangu anauza Nissan Sunny saloon car kwa TZS 4.5m/= na ni nzima kabisa.Hongera! Mimi nina milioni 4 cash vp nikutumie sms uko tayar tumalizane
And after all, between 2005 and 2012 ilikuwa ikitumiwa na Mama mmoja lecturer wa UDSM hivyo matumizi yake hapa Bongo hayakuwa makubwa sana kama unavyodhania.2012-2005=7yrs?...ndani ya bongo? tazama upya bei! mtu akiongeza 3m ana kitu murwaa japo uzdi!
Price: Not less than TZS 10m/=