Rav4 for sale

Rav4 for sale

Usiangalie lini gari ilitengenezwa bali matumizi ya gari; mimi ninayo gari kama hiyo lakini haijawahi kutoka nje ya Dar toka upya wake na bado iko top notch!!Ukiiona utashangaa.
Umesema ukweli mtupu, gari ni matunzo.
 
Hii gari ya 1997 karibu miaka 20 iliyopita ndio unauza mil 11?
Fikiri tena na tena!
Mkuu bei ni product ya vitu vingi sio umri pekee yake, rafiki yangu ameagiza gari hii kutoka japan (real motors) cif yake ni $4250 kodi amelipa 7mil na ni gari ya 1997, asante kwa ushauri
upload_2016-10-20_21-19-4.jpeg
 
Usiangalie lini gari ilitengenezwa bali matumizi ya gari; mimi ninayo gari kama hiyo lakini haijawahi kutoka nje ya Dar toka upya wake na bado iko top notch!!Ukiiona utashangaa.
So kwa nini hufanyi matumizi mazuri ya gari?? Hiyo si size yako hujui matumizi yake, katafute passo ndiyo size yako, take it from me.
 
Kama ni Mali ya mfanyakazi wa serikalini hiyo gari ni nzuri ndani na nje
 
Cc zake ngapi?
Penda kusoma mkuu ni kwa faida yako...
Jamaa kaweka tangazo vizuri sana... Wasiwasi wangu ni TRA watataka EFD.

"TOYOTA RAV4 J - V TYPE G 4WD
Petrol, 2000cc, 5door, 5seater
Color: Silver / Grey
Year: 1997
Mileage:148,000
Price:11.5m
Contact: 0627109452"
 
Cc zake ngapi?
Penda kusoma Mkuu, ni kwa faida yakoo...
Jamaa kaweka tangazo vizuri, Sema sina uhakika kama amelipia hili tangazo...

"TOYOTA RAV4 J - V TYPE G 4WD
Petrol, 2000cc, 5door, 5seater
Color: Silver / Grey
Year: 1997
Mileage:148,000
Price:11.5m
Contact: 0627109452"
 
Kwamba Gari haina expiry date?? Kwanini unapata Road worthness checks na licensing???/ Si uendeshe tu likiwa lanabomoka huku ukienda???


SIJAKATAA KUNA KUISHA THAMANI LAKINI SIYO KUEXPIRE USHAHIDI NENDA KACHEKI GARI ZA MAGEREZA ALIZOACHA MKOLONI STILL ZINAPIGA KAZI HADI LEO
 
SIJAKATAA KUNA KUISHA THAMANI LAKINI SIYO KUEXPIRE USHAHIDI NENDA KACHEKI GARI ZA MAGEREZA ALIZOACHA MKOLONI STILL ZINAPIGA KAZI HADI LEO
Kwani ukizifunua ni Zenyewe?? Kama ni zenyewe ndio hizo spanner mkononi!
 
Kumbe na wewe umewaza kama mimi! gari ya 1997 na 148000km M11.5, kweli??
We ulitaka iuzwe sh ngapi? Gari iliagizwa July 2013 ilikuja ikiwa na 124000km, ingia online ucheck rav4 ya 1997 utaishika kwa sh ngapi
 
Rav 4 nyingine hata za 1995 bila Tshs 19m hujaipata toka yard!! Kwa ubora wake hii ni sawa yake, cha msingi ni inspection na documents!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom