Mkuu bei ni product ya vitu vingi sio umri pekee yake, rafiki yangu ameagiza gari hii kutoka japan (real motors) cif yake ni $4250 kodi amelipa 7mil na ni gari ya 1997, asante kwa ushauriHii gari ya 1997 karibu miaka 20 iliyopita ndio unauza mil 11?
Fikiri tena na tena!
So kwa nini hufanyi matumizi mazuri ya gari?? Hiyo si size yako hujui matumizi yake, katafute passo ndiyo size yako, take it from me.Usiangalie lini gari ilitengenezwa bali matumizi ya gari; mimi ninayo gari kama hiyo lakini haijawahi kutoka nje ya Dar toka upya wake na bado iko top notch!!Ukiiona utashangaa.
You're very wrong, gari si matunzo bali, gari ni matumizi.Umesema ukweli mtupu, gari ni matunzo.
Empty headNonsense!
Kumbe na wewe umewaza kama mimi! gari ya 1997 na 148000km M11.5, kweli??Hii gari ya 1997 karibu miaka 20 iliyopita ndio unauza mil 11?
Fikiri tena na tena!
Duh, hapa bongo labda. Ndio maana tunauana kwa ajali za ajabu ajabu na kudhani tumelogwa au majini!gari haina expiring date
Duh, hapa bongo labda. Ndio maana tunauana kwa ajali za ajabu ajabu na kudhani tumelogwa au majini!
Kwamba Gari haina expiry date?? Kwanini unapata Road worthness checks na licensing???/ Si uendeshe tu likiwa lanabomoka huku ukienda???sijakuelewa fafanua
Penda kusoma mkuu ni kwa faida yako...Cc zake ngapi?
Penda kusoma Mkuu, ni kwa faida yakoo...Cc zake ngapi?
Kwamba Gari haina expiry date?? Kwanini unapata Road worthness checks na licensing???/ Si uendeshe tu likiwa lanabomoka huku ukienda???
Kwani ukizifunua ni Zenyewe?? Kama ni zenyewe ndio hizo spanner mkononi!SIJAKATAA KUNA KUISHA THAMANI LAKINI SIYO KUEXPIRE USHAHIDI NENDA KACHEKI GARI ZA MAGEREZA ALIZOACHA MKOLONI STILL ZINAPIGA KAZI HADI LEO
Kwani ukizifunua ni Zenyewe?? Kama ni zenyewe ndio hizo spanner mkononi!