RAV 4n RAV 4 RAV 4 RAV4

chukuwa kitu hii hapa ipo zanzibar ina miezi miwili tu tokea ishuke toka uingereza, na huwezi kupata hapa kwetu kwa bei hii ninayokupa, inauzwa sababu nimeagizia Noah kutoka Japan
RAV 4 12.5 million TSH, MODEL 1999, automatic, fully dutty paid, IMPORTED from UK with AC, car is fully insured, its in ZANZIBAR, with no single problem, u find 1 problem i give a car for free.
By the way hii imelipiwa full kwa hiyo kusafirisha na mpaka kuitoa bandarini Dar hitazidi zaidi ya 1.5 million
 

Attachments

  • DSC00245.jpg
    534.3 KB · Views: 68
  • DSC00247.jpg
    659.8 KB · Views: 71
na hii nipha ya nyuma tatizo ambalo utalikuta hapo katika stape ring kwa chini upande wa kulia katika hilo bumper limebonyea kutokana na safari kutoka uingereza melini
 

Attachments

  • DSC00244.jpg
    510.4 KB · Views: 65
tatizo watu wananunua miaka na registration no. sio gari. asikudanganye mtu hakuna rav4 itakayoifikia old modeli kuanzia mwaka 1995-1998. old model inaanzia 20m show room.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…