Vyipi unaweza kushusha kidogo detail zake kama Mileage na Seats pamoja Engine yakeshow room m20, mi nnayo m10 tu ila rav4 old model hakuna ya miaka uliyo taja zote ni za 1995, 1997, 1998. zidi kujifunza
wakuu nataka kununua gari aina ya Rav4, Year 2001 - 2003. Yenye High Quality. Lakini sina uzoefu wowote maana ni gari yangu ya kwanza kutaka kununua. Hivyo tumwagiane maujuzi ili kuusudii wengi wafaidi,
Ningepend tuongelee kwanza Sehemu gani ambapo unaweza kupata gari aina hii either Showroom au Direct from japani kwa Bei nzuri, Je unaweza kupata gari hii kwa 15m. Nawasilisha, ( Please saidia)
Sawa ngoja niicheckniliipost humu ukitafuta utaiona mpaka picha
kiukweli 15m nikubwa kiasi kununua Old model, Mkuu thanks, hapa ntazidi kupata maufundi zaid,, WabejaMie naona hiyo ni pesa nyingi kununua old model au unasemaje?
take time shop around pata idea zote usikimbilie kununua jipe muda utapata iliyo nzuri na haina matatizo mengi.
Tabu inabidi uangalie mambo mengi kabla ya kununua na pia kumuuliza muuzaji maswali.
haya kitipu kidogo hapo chini zaidi weye google utajifunza ili usitapeliwe tena acha kusema kuwa hujui maana ndio utaingizwa mjini kiurahisi sana. BEWARE!!! usiseme weye hujui kabisaaaaaaa au nyamaza
What to look for in a second hand car - pro tips
- Check the body lines for consistency
- Look for any evidence of repainting, such as overspray on window rubbers or any inconsistency in the paintwork
- Check for uneven tyrewear
- Look out for different makes of headlights
- Watch for different consistencies of stonechips over the front of the bonnet compared to the adjacent wings.
- Examine carefully the wear at the pedal rubbers, the gear stick and the steering wheel
- Closely examine the odometer for any sign of interference
- Make sure the keys provided operate in all of the locks and that there is a spare set.
- Try all keys provided in the ignition and make sure that they start the engine – as occasionally a 'cut' key is not a 'transponder key' or micro-chipped to work in the ignition.
good luck
Mkuu asante, vyipi kuanzia 18m unaweza kupataHuwezi pata RAV 4 nzuri ya model za 2000 na kuendelea kwa kiasi cha million 15!!!!
Asante, But mmh mkono wangu mfupi haufiki hukomim ninayo new model sijamaliza nayo mwaka naanzia ml 27.namba yangu ni 0782738838
Vyipi kwa model hiyo kutoka Japan matatizo ni hayo hayo au zenyewe inakuwajeusilogwe ukanunua RAV4 ya 2001-2003 toleo la ulaya (uingereza), toleo hilo lina tatizo la computer box kutokea kiwandani, gear zinachomoka, linapoteza nguvu, brake zinafail
kazi kwako
usilogwe ukanunua RAV4 ya 2001-2003 toleo la ulaya (uingereza), toleo hilo lina tatizo la computer box kutokea kiwandani, gear zinachomoka, linapoteza nguvu, brake zinafail
kazi kwako
Hi all
Kuna RAV 4 moja ipo maeneo ya sinza mugabe, inauzwa. Nilipoulizia bei niliambiwa ni 9.5m. Ila three doors.
Kwa maelezo zaidi 0715740150. Hajaniomba nifanye hivi ila i feel like naweza kukupa hii information.
Mimi nauuza Rav4 ya mwaka 1998 silver colour, 5 doors ,manual transmission, price ni 7.5 mil.
RAV4 auto zote kati ya 2001 - 2003 zina tatizo hili si tu za kutoka Uingereza. Tatizo ni design ECU (Computer box) ilikuwa na hitilafu ndio insababisha gari kupoteza nguvu na gia kuchomoka. Hizi zote zilitengenezwa Japan na kusafirishwa Ulaya